Wapo wanaochangisha pesa Eti kumchukulia fomu mtu Fulani ilhali muda Bado.Kampeni zilishaanza kitambo Makanisani
Utaratibu na KANUNI zinasemaje?Kwa nini mnaziogopa kampeni si ndo zinajemga chama. Kuna mtu tukiwa bado tunafuta machozi na vitambaa mikononi yeye akawa anasema hizi ni homa za 2025.
KANUNI za chama zinaruhusu vikundi mbalimbali kuchangisha Fedha hadharani kumchukulia fomu mgombea Kwa nafasi ambayo Bado haijatangazwa na chama?Azuie na kampeni za kumrudisha mama?
Yeye mwenyewe kishaanza kampeni kumkampenia mama atapata wapi guts kuzuia wengine ?
Zinasema Chukua Chako Mapeeemaaa,Utaratibu na KANUNI zinasemaje?
Amejinasibu ni mtu wa misimamo,Zinasema Chukua Chako Mapeeemaaa,
Acha wachukie vyao Mkuu.
Aanze kwa kumkemea m/kiti wake aliyekaa kimya baada ya wakuu wa shule za sekondari kujikomba na kuchangishana fedha kwa ajili ya fomu yake ya kugombea Urais kabla ya muda.Salaam, Shalom!!
Hongera Kwa kuaminiwa na chama chako Kwa nafasi ya KM.
Kuna vurugu na wimbi linaendelea la watu ndani ya chama chako kuanza compaign mapema Kwa GIA ya kuchangishana na kuwachukulia fomu wagombea wa nafasi mbalimbali, Hasa ubunge na Ile ya juu zaidi ilhali muda Bado, na KANUNI zinakinzana na jitihada hizo.
Umejinasibu ni mtu wa misimamo, waonye waache mara Moja, wasiposikia WAKATWE huko mbeleni.
Karibuni [emoji120]
Hayo ndo madhara ya kofia mbili za mkt.Aanze kwa kumkemea m/kiti wake aliyekaa kimya baada ya wakuu wa shule za sekondari kujikomba na kuchangishana fedha kwa ajili ya fomu yake ya kugombea Urais kabla ya muda.
Kwa vyanzo vipi vya mapato tulivyonavyo?Marekani uchaguzi unafanyika December mwaka huu ila watu walishaanza kampeni tangu mwaka jana, hili Nchimbi anapaswa kuliiga.
Wagombea katika vyama huwa wanatumia pesa zao binafsi au za wafuasi na marafiki wao.Kwa vyanzo vipi vya mapato tulivyonavyo?
MKOA WA RUKWA Utadhani UCHAGUZI ni mwezi wa 10 Mwaka 2024 kwani hata VIONGOZI wa Chama wanawasaidia Walioanza kampeni mapema Jimbo la NKASI na Kwela Wanachama Wasiotii Utaratibu wa Chama wapo vijijini Wanapiga kampeni hata MAJINA yao tunayoSalaam, Shalom!!
Hongera Kwa kuaminiwa na chama chako Kwa nafasi ya KM.
Kuna vurugu na wimbi linaendelea la watu ndani ya chama chako kuanza compaign mapema Kwa GIA ya kuchangishana na kuwachukulia fomu wagombea wa nafasi mbalimbali, Hasa ubunge na Ile ya juu zaidi ilhali muda Bado, taratibu na KANUNI za chama zinakinzana na jitihada hizo.
Umejinasibu ni mtu wa misimamo, waonye hadharani waache mara Moja, wasiposikia WAKATWE Majina Yao huko mbeleni.
Karibuni [emoji120]
Hilo ni jambo zuri sana linalopaswa kuigwa na maeneo mengine yote.MKOA WA RUKWA Utadhani UCHAGUZI ni mwezi wa 10 Mwaka 2024 kwani hata VIONGOZI wa Chama wanawasaidia Walioanza kampeni mapema Jimbo la NKASI na Kwela Wanachama Wasiotii Utaratibu wa Chama wapo vijijini Wanapiga kampeni hata MAJINA yao tunayo
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Basi akae na atulie campaign kaianza yeye mapema kabla ya wakati. Lakini hata yeye mwenyewe anapaswa kupitia mchakato uleule walioupitia wenzake kipindi wakigombea Urais kwa mara ya kwanza. Hii aliyopo alidandia tren ikiwa kwenye mwendo.Ha
Hayo ndo madhara ya kofia mbili za mkt.
Mkt anaruhusiwa kugombea kupitia kofia ingine, jambo ambalo KM hawezi.
Huo utaratibu wanaosema wamejiwekea wenyewe Mbona hauko kwenye katiba yao?Utaratibu na KANUNI zinasemaje?
Ni Kweli kabisa. Ikiwa anatosha, akubali changamoto, ashindanishwe, apigiwe kura nk nk!!Huo utaratibu wanaosema wamejiwekea wenyewe Mbona hauko kwenye katiba yao?
Huo utaratibu ni applicable kwa Rais aliyechaguliwa na watu na sio aliyerithi kiti!! Samia anatakiwa ashondanishwe na wengine ili apatikane mshindi wa kupeperusha bendera yenu.