Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimepitwa na wakati, kampeni huwa zinatakiwa kuanza mara tu uchaguzi mmoja unapoishaUtaratibu na KANUNI zinasemaje?
Salaam, Shalom!!
Hongera kwa kuaminiwa na chama chako kwa nafasi ya Katibu Mkuu.
Kuna vurugu na wimbi linaendelea la watu ndani ya chama chako kuanza compaign mapema Kwa GIA ya kuchangishana na kuwachukulia fomu wagombea wa nafasi mbalimbali, Hasa ubunge na Ile ya juu zaidi ilhali muda Bado, taratibu na KANUNI za chama zinakinzana na jitihada hizo.
Umejinasibu ni mtu wa misimamo, waonye hadharani waache mara Moja, wasiposikia WAKATWE Majina Yao huko mbeleni.
Karibuni 🙏
Yeye mwenyewe anafanya kampeni huko aliko ana watu wake, mwenezi ana wa kwake na makamu naye ana wa kwakeSalaam, Shalom!!