Pre GE2025 Katibu Mkuu Nchimbi, zuia walioanza kampeni mapema ndani ya chama chako kabla ya muda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama ulivyotoka kumkemea Mkt uvccm Kagera,

Wakemrr pia wote ndani ya chama chako walioanza mapema compaign.

KAZI ya kuitumikia wananchi haijaisha Bado.
 

..itabidi amkate hata Samia Suluhu.

..ameanza kampeni kabla ya muda, na juzi katoa wimbo wa kampeni, akishirikiana na Diamond.
 
Yeye mwenyewe anafanya kampeni huko aliko ana watu wake, mwenezi ana wa kwake na makamu naye ana wa kwake
 
Helicopter imenunuliwa na mnufaika ametajwa, Nia na dhamira ya kununua helicopter imetajwa wazi!!

Kwanini chama hakitoki kukemea?
 
Yaani MABANGO ya bi Chura kiziwi nchi nzima, kama mtu aliyepotea or Mhalifu anayetafutwa na POLICE...Sijui bango moja limegharimu fedha kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…