Jana wamejiharia chini kwenye mahandaki
Kilitamani kuwa ki superpower kama ka nchi fulani nasumbuya Kongo huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana wamejiharia chini kwenye mahandaki
Kwa yanayoendelea Israel kuchanganyikiwa lazima.Kilitamani kuwa ki superpower kama ka nchi fulani nasumbuya Kongo
Hezbollah ambushes Israeli soldiers trying to invade Lebanon:
Al-Mayadeen correspondent in the south:
Today, the occupation soldiers tried to enter Adaisseh, but when they reached the barbed wire, they fell into a tight ambush.
The resistance opened fire at the occupation forces from point zero, which led to the outbreak of widespread clashes
#Israeli helicopters evacuated dead and wounded soldiers, coinciding with the launching of smoke bombs
The occupation is talking about the killing of a soldier in the Adaisseh ambush, but we confirm that the number of dead is much higher
What happened in Adaisseh is the first real clash with an #Israeli commando force that tried to breach the border
Habari imetufikia, asante sana.Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Israel imempiga marufuku personal non grata Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Antonio guterres kwa kushindwa kulaani shambulizi la makombora ya masafa marefu ya Iran dhidi ya Israel.
Israel pia inamtuhumu kuwa na sera zenye uelekeo wa kutetea na kuunga mkono magaidi, wabakaji na wauaji
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Live UpdateFrom the Liveblog of Wednesday,
October 2, 2024
FM Katz declares UN chief Guterres ‘persona non grata’ in Israel over response to Iran attack
By Lazar Berman
Follow
Today, 1:42 pm
United Nations Secretary General Antonio Guterres speaks during a press conference with Egyptian Foreign Minister Sameh Shoukry, at the foreign ministry headquarters in Egypt's New Administrative Capital, March 24, 2024. (AP/Amr Nabil)
Foreign Minister Israel Katz announces that he has designated UN Secretary General António Guterres “persona non grata,” meaning the Spanish diplomat cannot enter Israel.
The Foreign Ministry says the decision is a reaction to Guterres’s response after Iran’s missile attack last night, “in which he failed to mention Iran by name and did not unequivocally condemn its grave aggression.”
Israel Guterres’s policies throughout the war have “provided backing to terrorists, rapists and murderers from Hamas, Hezbollah, and the Houthis, and now to the mothership of global terror, Iran.”
In a statement, Katz says that “anyone who cannot unequivocally condemn Iran’s heinous attack on Israel, as nearly all the countries of the world have done, does not deserve to set foot on Israeli soil.”
Waliulize waliomzuiaHalafu lidunia lilivyo likubwa hivi mtu aende kule kufanya nn mfano....kwa kipi hasa kilichopo pale...site za kuabudu au Hali ya hewa au nn hasa....
Kwa yanayoendelea Israel kuchanganyikiwa lazima.
Kibaya zaidi wana viongozi ambao ufahamu wao wa kuyaendea mambo ni mdogo. Maamuzi yao ni kama watoto wadogo.
kwa vipigo hivi wanavyotoa Iran na Hezbollah kwa waisrael nani aende israel kufaWadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Israel imempiga marufuku personal non grata Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Antonio guterres kwa kushindwa kulaani shambulizi la makombora ya masafa marefu ya Iran dhidi ya Israel.
Israel pia inamtuhumu kuwa na sera zenye uelekeo wa kutetea na kuunga mkono magaidi, wabakaji na wauaji
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Live UpdateFrom the Liveblog of Wednesday,
October 2, 2024
FM Katz declares UN chief Guterres ‘persona non grata’ in Israel over response to Iran attack
By Lazar Berman
Follow
Today, 1:42 pm
United Nations Secretary General Antonio Guterres speaks during a press conference with Egyptian Foreign Minister Sameh Shoukry, at the foreign ministry headquarters in Egypt's New Administrative Capital, March 24, 2024. (AP/Amr Nabil)
Foreign Minister Israel Katz announces that he has designated UN Secretary General António Guterres “persona non grata,” meaning the Spanish diplomat cannot enter Israel.
The Foreign Ministry says the decision is a reaction to Guterres’s response after Iran’s missile attack last night, “in which he failed to mention Iran by name and did not unequivocally condemn its grave aggression.”
Israel Guterres’s policies throughout the war have “provided backing to terrorists, rapists and murderers from Hamas, Hezbollah, and the Houthis, and now to the mothership of global terror, Iran.”
In a statement, Katz says that “anyone who cannot unequivocally condemn Iran’s heinous attack on Israel, as nearly all the countries of the world have done, does not deserve to set foot on Israeli soil.”
Mtesi wako anaposhambuliwa huwa ni furaha.Ilikuwa ni furaha kuu kote kwa wenye kuonewa:
View attachment 3113126
Syria, Jordan, Gaza, West Bank, hadi Lebanon huko.
Mtesi wako anaposhambuliwa huwa ni furaha.
Iran imewatia nguvu sana kwa tukio la jana, Hizbullah imepata nguvu sana na kwa sasa wamezidisha kasi ya mashambulizi Israel.
Hawezi!Kwamba:
Undumila kuwili wa Magharibi dhidi ya Iran nani asiyeuona?
Marekani kama anataka vita si akavaane na kina Putin size yake huko?
Hawezi!
Marekani huwa inapima wapi pa kuchokoza na wapi pa kupita kimya kimya!
Waandamizi wake wa masuala ya kijeshi wanakaangwa sana huko Ukraine na kwa uwezo aliyothibitisha Russia kwa kupambana nao na kwa teknolojia ya kivita wanaogopa.
Mbaya zaidi Putin anawaambia hapa hata bado hatujaanza. Na uzuri zaidi anawapa desa kabisa wakifanya hivi Russia itajibu hivi na matokeo yake yatakuwa haya!
Aaah wapo..sizani kama muda muafaka WA kunyosheana misuli...Uturuki nao wanajinoa..Huku ndiko kuweweseka kwenyewe:
View attachment 3113109
Kwa hakika hawa ndugu bila mbeleko ya Marekani ni wepesi kuliko sufi.
Israel wana twist habari ili kuficha aibu yao!
Aaah wapo..sizani kama muda muafaka WA kunyosheana misuli...Uturuki nao wanajinoa..
Ni kama malezi tu!Ila kusema ukweli vita siyo nzuri:
View attachment 3113274
Kulikoni kuchagua vita kama mazungumzo ya dhati yanawezekana?
Israel wana twist habari ili kuficha aibu yao!
Inafahamika kuwa zilizoshambuliwa ni miundombinu ya kijeshi na taarifa ya Iran ipo wazi! Wapi kashambulia na ni kwa nini!
Kinachotakiwa ni wao waonyeshe hayo maeneo kama ni kweli au laa! Mpaka sasa hawajafanya hivyo!
Watafanya ukarabati wa haraka haraka halafu mbeleni huko wataonyesha kuwa hakukuwa na athari yoyote.
Watatengeza mazingira kama vyombo vya habari vilete pressure kwao kuonyesha hayo maeneo ili jamii itengenezewe hii hulka halafu watakuja kuonyesha baada ya ukarabati kwamba hakuna kilichotokea.
Ni kama malezi tu!
Mtoto usipomkanya watamkanya wa pembeni.
Iran kama nchi bado haijapata justification ya moja kwa moja ku declare vita na Israel. Ikitokea hiyo sababu nakuhakikishia itafanya hivyo!Ila Iran kusubiria apigwe ndipo ajibu anaweza kujikuta kwenye Hali ya Hezbollah.
Huyu alikuwa wa kuweka kibanobtokea day 1.
Hezbollah angekuwa alikomaa vilivyo angalau tokea kwa kina Hanniyeh mbona angekuwa na impact zaidi?
Hii ngoja ngoja haina tija.
Kama ni mbwai ni heri ikawa mbwai mapema asubuhi.