Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antonio Guterres apigwa marufuku kukanyaga Israel kwa kushindwa kulaani shambulizi la Iran na kuunga mkono magaidi

Kwa haya yanayoendelea kuchanganyikiwa lazima.
-----------
Hezbollah ambushes Israeli soldiers trying to invade Lebanon:
Al-Mayadeen correspondent in the south:

Today, the occupation soldiers tried to enter Adaisseh, but when they reached the barbed wire, they fell into a tight ambush.

The resistance opened fire at the occupation forces from point zero, which led to the outbreak of widespread clashes

#Israeli helicopters evacuated dead and wounded soldiers, coinciding with the launching of smoke bombs

The occupation is talking about the killing of a soldier in the Adaisseh ambush, but we confirm that the number of dead is much higher

What happened in Adaisseh is the first real clash with an #Israeli commando force that tried to breach the border
 

Ilikuwa ni furaha kuu kote kwa wenye kuonewa:



Syria, Jordan, Gaza, West Bank, hadi Lebanon huko.
 
Habari imetufikia, asante sana.
Tunasubiri maoni yako mkuu juu ya huo uamuzi wa Israel kwa mkuu wa umoja wa mataifa.
 
kwa vipigo hivi wanavyotoa Iran na Hezbollah kwa waisrael nani aende israel kufa
 
Israel yampiga marufuku katibu mkuu wa UN kuingia nchini kwao wasema akiingia watamkamata

Katika kuonyesha wazayuni wamechanganyikiwa na kwa jinsi kipigo kitakatifu cha makombora ya Iran kilivyowafanya kuwa wehu wamemcharukia katibu mkuu wa UN eti asikanyage nchini kwao[emoji23]

Israel imetoa tamko la kumkataza Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa yaani António Guterres kuingia Israel. Waziri wa mambo ya Nje wa Israel amesema mtu yeyote yule ambaye hawezi kulaani mashambulizi ya Iran kwa Israel hastahili kukanyaga ardhi ya Israel.

My take: Miaka miliwi nyuma tulikuwa numeaminishwa na tukaamini kuwa israel ndye anaongoza kwa mfumo wa ulinzi wa anga na hakuna kombora linaweza penyeza na kugusa ardhi ya ahadi walioyohaidiwa wayahudi na Mungu.

Leo hii imekuwa kama story ya pwagu na pwaguzi.

Wameshikwa pabaya povu wanalitolea kwa katibu wa UN[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwamba:

Undumila kuwili wa Magharibi dhidi ya Iran nani asiyeuona?

Marekani kama anataka vita si akavaane na kina Putin size yake huko?
Hawezi!

Marekani huwa inapima wapi pa kuchokoza na wapi pa kupita kimya kimya!

Waandamizi wake wa masuala ya kijeshi wanakaangwa sana huko Ukraine na kwa uwezo aliyothibitisha Russia kwa kupambana nao na kwa teknolojia ya kivita wanaogopa.

Mbaya zaidi Putin anawaambia hapa hata bado hatujaanza. Na uzuri zaidi anawapa desa kabisa wakifanya hivi Russia itajibu hivi na matokeo yake yatakuwa haya!
 

Ila kusema ukweli vita siyo nzuri:



Kulikoni kuchagua vita kama mazungumzo ya dhati yanawezekana?
 
Wenyewe wanasema hakukuwa na madhara yoyote:

View attachment 3113264
Israel wana twist habari ili kuficha aibu yao!

Inafahamika kuwa zilizoshambuliwa ni miundombinu ya kijeshi na taarifa ya Iran ipo wazi! Wapi kashambulia na ni kwa nini!

Kinachotakiwa ni wao waonyeshe hayo maeneo kama ni kweli au laa! Mpaka sasa hawajafanya hivyo!

Watafanya ukarabati wa haraka haraka halafu mbeleni huko wataonyesha kuwa hakukuwa na athari yoyote.

Watatengeza mazingira kama vyombo vya habari vilete pressure kwao kuonyesha hayo maeneo ili jamii itengenezewe hii hulka halafu watakuja kuonyesha baada ya ukarabati kwamba hakuna kilichotokea.
 

Ila Iran kusubiria apigwe ndipo ajibu anaweza kujikuta kwenye Hali ya Hezbollah.

Huyu alikuwa wa kuweka kibanobtokea day 1.

Hezbollah angekuwa alikomaa vilivyo angalau tokea kwa kina Hanniyeh mbona angekuwa na impact zaidi?

Hii ngoja ngoja haina tija.

Kama ni mbwai ni heri ikawa mbwai mapema asubuhi.
 
Iran kama nchi bado haijapata justification ya moja kwa moja ku declare vita na Israel. Ikitokea hiyo sababu nakuhakikishia itafanya hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…