Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antonio Guterres apigwa marufuku kukanyaga Israel kwa kushindwa kulaani shambulizi la Iran na kuunga mkono magaidi

Nafikiri ni kwa mara ya kwanza taifa member wa UN kupiga maarufuku katibu wake maarufuku
Hongera Israel wewe ni kidume haswa
Katibu alipaswa akemee uvamizi wa Israel
 
Hapunguzi chochote, karibu kajitahidi kumtafuta Bibi kamblock hapokei simu. Acha Bibi apigwe tu.
 
Msaliti Lisu amejifunza kitu hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…