YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Sio kweli Wakristo ndio tuliwapa ardhi ya Palestina 1948 waliyozulumiwaWayahudi wanauchukia Ukiristo kuliko Mlokole anavyomchukia shetani
Soma historia
Wanatuheshimu mno Wakristo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli Wakristo ndio tuliwapa ardhi ya Palestina 1948 waliyozulumiwaWayahudi wanauchukia Ukiristo kuliko Mlokole anavyomchukia shetani
[emoji90]God Bless [emoji1134]
Pole sanaMakomandoo wa Israel waue huyo ngedere kama kweli kasema hivyo
Wewe unadhani engagement ya Wakirsto na Wayahudi imeanza baada ya 1948Sio kweli Wakristo ndio tuliwapa ardhi ya Palestina 1948 waliyozulumiwa
Soma historia
Wanatuheshimu mno Wakristo
Siyo ya kisabato Bali yakilokolewakristo wa kweli ni wale wa Lebanon wanaopigana bega kwa bega na waislamu kuifurumua Israel.Huku kwetu wayahudi wamefanikiwa sana kuteka wakristo kuingia upande wao kwa kutumia yanayoitwa makanisa ya kisabato.
Maelezo marefu ila ni matapishi matupu,hivi ulivyo punguani mwenyewe unajiona umemwaga madini kinoma!Vipi wapagani wanaobusu Black Stone Mecca huku wakiamini Jiwe linasamehe dhambi wakiliguza, Arabs na weusi wanaaminiwa ni watumwa hadi leo hii..
Muslim wengi linapokuja suala la Dini IQ zao zinashuka chini kabisa...
Stuka Israel ni watoto 12 ya Yakobo mtoto aliyeitwa Judas ndio Kabila la Jews
katika kabila la Judah kuna waliochagua dini kwa wanavyoamini wao so kuna christian hadi RC Wapo kuna Orthodox Jews, Kuna Muslims pia na kuna pagan pia tunaamini kuwa freewill sio kama Muslim kila kitu mmepangiwa na Allah even Mkifanya Dhambi niAllah ndie aliyepanga sohata Ugaidi wa Gaza ni Allah aliyepanga ndio maana kawapanga arabs from Gaza kusema Allah Akbar wanapoua Waisrael na Non Muslims.
Ukristo ni jina la wanaofuata Mafundisho ya Massiah Jesus...
Usiwe kama yale Majinga yanayosema Yesu hakuwa Mkristo wakati ndio mkristo bali mafundisho yake good news wanaofuata ndio wanaitwa hivyo ni sawa na kusema Allah ni Muislam?
Haya mataifa mawili yanapigana juu ya ardhi(makazi), watazamaji tunaangalia udini🤔Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
Nilikuwa naijua, sa hizi siijuiIna maana hadi leo hujui UNO
Kwani upo ya ngapi mkuuNilikuwa naijua, sa hizi siijui
Huo ndo ukweli mengine ni porojo tuKatika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
Hapa ndo wabongo wanaponiacha hoiKumbe wagalatia hua wanadhani kua waisrael "Jews'' ni wakristo?
Hiyo ardhi ni ya Israel sio ya wapelestinaKatika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
Kwa nini?Hiyo ardhi ni ya Israel sio ya wapelestina
Pole sanaUzuri waislamu ndo wanauliwa
.......... Sawa tu na huku kwetu waislam walivyotekwa na vikundi vya kigaidi kama Hamas, Islamic Jihad, Al Qassam, Hezbollah, Isis, Al Qaeda, Al Shabaab nk.wakristo wa kweli ni wale wa Lebanon wanaopigana bega kwa bega na waislamu kuifurumua Israel.Huku kwetu wayahudi wamefanikiwa sana kuteka wakristo kuingia upande wao kwa kutumia yanayoitwa makanisa ya kisabato.
Sasa hawana nguvu ya kushindana na bwana netanyahuUkweli ndio huwezi kukubali occupation kizembe hamas acha wapambane mungu awasaidie wakaleta propaganda eti watoto wamechinjwa na biden mwanzo alitoa uongo huo hadi ikulu yake ikamkana ,
Ukristo ni jina la wanaofuata Mafundisho ya Massiah JesusVipi wapagani wanaobusu Black Stone Mecca huku wakiamini Jiwe linasamehe dhambi wakiliguza, Arabs na weusi wanaaminiwa ni watumwa hadi leo hii..
Muslim wengi linapokuja suala la Dini IQ zao zinashuka chini kabisa...
Stuka Israel ni watoto 12 ya Yakobo mtoto aliyeitwa Judas ndio Kabila la Jews
katika kabila la Judah kuna waliochagua dini kwa wanavyoamini wao so kuna christian hadi RC Wapo kuna Orthodox Jews, Kuna Muslims pia na kuna pagan pia tunaamini kuwa freewill sio kama Muslim kila kitu mmepangiwa na Allah even Mkifanya Dhambi niAllah ndie aliyepanga sohata Ugaidi wa Gaza ni Allah aliyepanga ndio maana kawapanga arabs from Gaza kusema Allah Akbar wanapoua Waisrael na Non Muslims.
Ukristo ni jina la wanaofuata Mafundisho ya Massiah Jesus...
Usiwe kama yale Majinga yanayosema Yesu hakuwa Mkristo wakati ndio mkristo bali mafundisho yake good news wanaofuata ndio wanaitwa hivyo ni sawa na kusema Allah ni Muislam?
Hao ni wale Wakristo waliokuwa na akili zao. Sio hawa ambao Kila siku wako bize na kuanzisha kwaya za kukata mauno, kubariki ushoga na Waraka za kukataaa uwekezaji wa BandariWewe unadhani engagement ya Wakirsto na Wayahudi imeanza baada ya 1948
Chuki ya Wayahudi kwa Wakiristo ilianza na chuki yao kali dhidi ya Yesu na mama yake. Tena chuki ambayo mpaka leo wanayo.
Chuki yao kwa Wakirsto ikazidi pale Dola za Wakiristo in the middle ages zilivyowatesa huko ulaya kwa madai kuwa walimuua Yesu.
Katika watu waliowafanyia Wayahudi kitu mbaya tangu enzi za falme za kale za kidini huko ulaya basi ni Wakiristu.
Usibabaishwe na hii alliance ya sasa kati ya Myahudi na nyie, kiufupi wanawatumieni tu kigeoplotiki, lakini hakuna dini Myahudi anaidharau na kuichukia kama Ukiristu. Tafuta taarifa jifunze