Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

Pale ambapo wakristo wa tandale wanawashobokea jews,hao waisrael hawataki hata kuskia kuhusu ukristo.
Point yako ni nini? Wala haiondoi kuwa Israel ni taifa teule la Mungu. Chimbuko la Yesu mpk manabii ni Israel.
Unataka wahamie kwenye utumwa wa kujengewa msikiti, kupewa tende, quran na maji ya zamzam? Haya ndiyo maendeleo ya mtumwa muislamu anatakiwa apewe.
 
Ni kweli wew Ni mkristo? Mbona hujui taifa la Mungu ,kiufupi hujui usemacho wakristo tunajitambua na tunajitambua taifa la Israeli
Fuata unachoamini wewe! Niache ninachoamini Mimi.
 
Hakuna taifa linalokaliwana Israel somen biblia na sio Quran ,Hilo taifa Lina mipaka ilowekwa na Mungu mwenyewe .hao wanaojiita wapalestina hawapo hawana taifa
HUwezi kujustify wizi kwa kumsingizia mungu kuna duniani kuna mikataba ya kimataifa hiyo ndio misingi ya mipaka duniani ndio maana unaona ukraine siyo part ya russia kama ilivyokuwa zamani, na zanzibar ni part ya tanzania, mikata ya mipaka ilishawekwa na oslo treaty israel anakiuka mikataba kwasababu asili yao ni wizi
 
Mbona waislamu wakiafrika huona waarabu ni ndugu zao wakati ni watumwa wao?
Muislamu muafrika ni mtumwa wa Mwaarabu na mtumwa haistahili maisha mazuri.
Mwaarabu huwajengea msikiti, kuwapa Quran, kuwachimbia kisima cha kujitawazia, kuwapa tende na maji ya zamzam. Haya ndiyo anatakiwa apewe mtumwa wa muislamu mwaafrika na siyo kujengewa hospital, shule, vyuo vya ufundi au kupewa mikopo ya kuwawezesha.
Mfano hai
Gadhafi aliwajengea watumwa msikiti mkubwa ila hakujenga shule au hospitali. Kwanini?
DP World, inashindwa kuwajengea hospital? Ila inawajengea msikiti. Ukimaliza kuswali nini kinafuata?
Waislamu na Waarabu wote wapo kwenye Dini moja Ya Uislamu Ila wayahudi na wakristo wana dini mbili tofauti
 
Ukweli mchungu. Mwaarabu humchukulia mwafrika mweusi muislmu ni mtumwa wake ndiyo maana hawezi kumfanyia jambo la maendeleo kwasababu ni mtumwa na mtumwa haistaili maisha mazuri.
  • Mwaarabu hawezi kuwajengea shule muislamu mweusi kwasababu ni mtumwa. Kipindi waarabu waislamu wanafanya biashara ya watumwa na pembe za ndovu hawakujenga shule, vyuo au vyuo vya ufundi mpk sasa.
  • Mwaarabu hawawezi kumjengea muislamu mweusi hospitali. Mtumwa haistaili maisha mazuri.
Mtumwa mwaafrika wa kiislamu anatajengewa msikiti, atawapa Quran, kuchimbiwa kisima cha kujitawazia, kupewa tende na maji ya zamzam.
Mfano hai
Gadhafi alipokuja Tanzania, alijenga msikiti na siyo shule au hospital
DP World amewajengea msikiti mkubwa Mbeya na siyo hospitali
Waislamu wafrika huona waarabu ni ndugu zao kumbe ni watumwa wao
Maelezo marefu yasiyokua na maana yeyote,comment yako ni yakipumbavu sana,umeniquote kitu kingine kabisa na ukacomment maelezo ambayo wala hayahusiani na comment yangu,
Basi hapo mwenyewe unajiona umeshusha madini ya maana kinoma.
 
Story za Mtaani zipi wajua Israel aliichukua Ardhi ya Gaza na Sinai kwa Mtutu Wakaelewana na Egypt akaiachia Sinai na Gaza kwa Mamlaka ya Egypt ila Egypt akaikataa Gaza.. so Israel akaitawala Gaza hadi 2014 Mkataba wa Oslo... Gaza ikawa chini ya Mamlaka ya PLO Palestinian Administrations ukaja Uchaguzi Hamas wakauteka na kuchukua Mji... Wakaja na Slogan ya kuchinja chinja Wayahudi wote katika ardhi ya Judea... mziki ndio ukaanza hapo ila palikuwa shwari kabisa waisrael waliujenga mji huo na walipoondika walilia sana Machozi.. na kumlaani Waziri mkuu wakati ule Yitzack Rabin masikini raia mmoja wa Israel alimpiga risasi kwa machungu Waziri Mkuu. So unapoitetea Hamas unakuwa unaungana nao katika Slogan ya Ku wa Sloughter Jews and Christians sababu wana Fallows Qoran... hakuna cha Freedom fighters pale ni Magaidi tu na wameuthibitishia ulimwengu kuwa dhamira yao ni hiyo hivyo na wewe kaa upande wa Allah ule Kichapo ukitishia Uhai wa Jews na Christians utapata unachotaka kukipata... Marekani huwa wanasema Mpige mapema anayetaka kukuua... Gazan are deadman tulia tu kwenye TV uenjoy...

Mkuu umeanzia katikati hii Hadithi yako

Dunia nzima kabla dunia haija staarabika na mipaka unayoijua leo binada alikua ni kiumbe wa kuhama hama kutoka sehemu mmoja hadi nyingine

Warumi walipo ikalia Judea kwa zaidi ya miaka 400 na kisha ukaja utawala wa Ottomans kwa miaka mingi karibu Wayahudi wote walikua wamehama Judea

Ikumbukwe kwamba sio kwamba walikua wakiishi peke yao, zilikuwepo na jamii zingine kama waarabu nk

Hebu fikiria waarabu walio kuwa pale au walio hamia pale vizazi 400 nyuma, wamekulia na kulelewa pale mababu kwa mababu halafu leo unakuja kuambiwa ondoka walio hama miaka 600 wanakuja na wewe kwa miaka 600 hujui hata original yako ni wapi zaidi ya Palestine

Ni kama leo hii wahindi wekundi wapate nguvu na kuanza kuwakalia kimabavu wazungu na mablack wote amerika kwamba ile ni aridhi yao kwasababu vitabu vyao vya dini vinasema hivyo

Sio sahihi kudhani wapalestina hawana haki kwasababu tu umesoma Bibilia inayosema walipewa na Mungu
Wana haki zao pia ambazo wana haki ya kuzipigania kwa namna yoyote ile

Inawezekana ikawa hujui lakini Gaza ni kama gereza vile, Israel ndio inaamua nani aingie nani atoke, umeme maji mafuta kazi msosi nk wao ndio wana control..... In short wapalestina wapo kwao lakini wapo gerezani
NANI ATAKUBALI KUISHI MAISHA HAYO MILELE?
 
Maelezo marefu yasiyokua na maana yeyote,comment yako ni yakipumbavu sana,umeniquote kitu kingine kabisa na ukacomment maelezo ambayo wala hayahusiani na comment yangu,
Basi hapo mwenyewe unajiona umeshusha madini ya maana kinoma.
Pole sana.
Kwahiyo njia sahihi umeona ni kuwa mtumwa wa mwaarabu ili akujengee msikiti, kisima cha kujitawazia, maji ya zamzam na tende?
Kukujengea shule, vyuo au hosptali anaona mtumwa hastail hivyo.
Endelea kujifafiji. Israel ndiyo kitovu cha wakristo. Yesu alizaliwa Israel
 
Pole sana.
Kwahiyo njia sahihi umeona ni kuwa mtumwa wa mwaarabu ili akujengee msikiti, kisima cha kujitawazia, maji ya zamzam na tende?
Kukujengea shule, vyuo au hosptali anaona mtumwa hastail hivyo.
Endelea kujifafiji. Israel ndiyo kitovu cha wakristo. Yesu alizaliwa Israel
Wewe ni mpumbavu,Yesu alizaliwa Israel? Ndio unavyodanganywa hivyo? Tafuta taarifa acha kufuga ujinga kwenye hilo fuvu,nenda hata google angalia mji aliozaliwa Yesu upo Israel au Palestina?
 
Wanaume washaingia si tukiendelea na Soga zetu.
Mlango kwa mlango nawaona hapa live.
Mpk j3 Gaza itaimba halleluja, na mawasiliano wamekata vilevile.
Bendera ya Israel imesimikwa Gaza
 
Hiyo Hamasa yake ndio inayowatokea puani Palestinians
 
Nyie huyo mpelestina anawahusu nini? Alichokoza acha apigwe tu hakuna namna.
Wewe zuzu tumia akili unapoquote comment zangu,amechokoza wapi? unajua kua alichofanyiwa Israel kwa siku moja ndicho wanachofanyiwa wapalestina kila siku? umeanza kufuatilia issue ya Palestina na Israel baada ya ile attack tu?

Wagalatia muwe waelewa,Judaism na ukristo ni sawa na maji na mafuta,Waisrael wanauchukia ukristo na wala hawaukubali,siku nyingine ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya au acha kuquote comment zangu kwa akili yako ya kichwa cha panzi.
 
Wewe zuzu tumia akili unapoquote comment zangu,amechokoza wapi? unajua kua alichofanyiwa Israel kwa siku moja ndicho wanachofanyiwa wapalestina kila siku? umeanza kufuatilia issue ya Palestina na Israel baada ya ile attack tu?

Wagalatia muwe waelewa,Judaism na ukristo ni sawa na maji na mafuta,Waisrael wanauchukia ukristo na wala hawaukubali,siku nyingine ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya au acha kuquote comment zangu kwa akili yako ya kichwa cha panzi.
Wauchukie wasiuchukie watatijua wenyewe, Hawa Hamas waachwe wapigwe tu.
 
Mimi ni mkristo, ila sijawai kuwa na aina ya mawazo kama wengine khs Israel, naona ni taifa kama taifa tu kama Tz tu...mambo ya Taifa teule nimekataa kabisa...Mungu ni wa wote wamfuatao.
Waislam kuwakosoa Wakristu wanaoamini Israeli ni taifa teule haina mashiko. Israeli ni taifa la Kiyahudi na siyo Wakristu na hili liko dhahiri. Kilichopo ni kuwa, Israeli ina historia kubwa ya Ukristu na siyo kingine. Waislam wana ulaghai, watakuambia Israeli imelaaniwa, ila wana msikiti wao wa kubumba wa Al Aqsa uko Israeli na ni mojawapo ya maeneo matakatifu sana katika Uislam.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom