Hadi siku Yesu anapaa mbinguni kulikuwa hakuna dini inayoitwa ukristo Wala vitabu vyenu vya wakolintho na wagalatia mmeingizwa chaka na Wazungu
Kama wewe unataka kumfuata Yesu haya ndio alivyokuwa anayafanya Yesu katika maisha yake yote hapa duniani
Luka 4:16
Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.
Na alipikuwa anafanya Ibada kumuomba Mungu wake alikuwa anasujudu
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Sasa kama wewe kweli unataka kumfuata Yesu unatakiwa uingie msikitini na ukisali usujudu kama Yesu
Ila kama unawafuata wazungu nenda kanisani