Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Story za Mtaani zipi wajua Israel aliichukua Ardhi ya Gaza na Sinai kwa Mtutu Wakaelewana na Egypt akaiachia Sinai na Gaza kwa Mamlaka ya Egypt ila Egypt akaikataa Gaza.. so Israel akaitawala Gaza hadi 2014 Mkataba wa Oslo... Gaza ikawa chini ya Mamlaka ya PLO Palestinian Administrations ukaja Uchaguzi Hamas wakauteka na kuchukua Mji... Wakaja na Slogan ya kuchinja chinja Wayahudi wote katika ardhi ya Judea... mziki ndio ukaanza hapo ila palikuwa shwari kabisa waisrael waliujenga mji huo na walipoondika walilia sana Machozi.. na kumlaani Waziri mkuu wakati ule Yitzack Rabin masikini raia mmoja wa Israel alimpiga risasi kwa machungu Waziri Mkuu. So unapoitetea Hamas unakuwa unaungana nao katika Slogan ya Ku wa Sloughter Jews and Christians sababu wana Fallows Qoran... hakuna cha Freedom fighters pale ni Magaidi tu na wameuthibitishia ulimwengu kuwa dhamira yao ni hiyo hivyo na wewe kaa upande wa Allah ule Kichapo ukitishia Uhai wa Jews na Christians utapata unachotaka kukipata... Marekani huwa wanasema Mpige mapema anayetaka kukuua... Gazan are deadman tulia tu kwenye TV uenjoy...Hizo story za kijiweni hamas wanapambania ardhi yao na si magaidi hata secretary general wa united nations anawaunga mkono na viongozi wengi wa ulaya akiwemo jeremy corbin, hamas hawatapigana kama haki itapatikana na israel akaheshimu mipaka, hata mandela alikuwa akiitwa gaidi na marekani na magharibi kisa tu kupigania kwake haki