Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

Sio kweli Wakristo ndio tuliwapa ardhi ya Palestina 1948 waliyozulumiwa

Soma historia

Wanatuheshimu mno Wakristo
Wewe unadhani engagement ya Wakirsto na Wayahudi imeanza baada ya 1948

Chuki ya Wayahudi kwa Wakiristo ilianza na chuki yao kali dhidi ya Yesu na mama yake. Tena chuki ambayo mpaka leo wanayo.

Chuki yao kwa Wakirsto ikazidi pale Dola za Wakiristo in the middle ages zilivyowatesa huko ulaya kwa madai kuwa walimuua Yesu.

Katika watu waliowafanyia Wayahudi kitu mbaya tangu enzi za falme za kale za kidini huko ulaya basi ni Wakiristu.

Usibabaishwe na hii alliance ya sasa kati ya Myahudi na nyie, kiufupi wanawatumieni tu kigeoplotiki, lakini hakuna dini Myahudi anaidharau na kuichukia kama Ukiristu. Tafuta taarifa jifunze
 
S
wakristo wa kweli ni wale wa Lebanon wanaopigana bega kwa bega na waislamu kuifurumua Israel.Huku kwetu wayahudi wamefanikiwa sana kuteka wakristo kuingia upande wao kwa kutumia yanayoitwa makanisa ya kisabato.
Siyo ya kisabato Bali yakilokole
 
Maelezo marefu ila ni matapishi matupu,hivi ulivyo punguani mwenyewe unajiona umemwaga madini kinoma!

Hujui lolote,ni bora ungekaa kimya ingekusaidia kuficha upumbavu wako,kwa akili hiyo mgando wala sioni faida ya kukuelewesha zaidi coz akili ndogo ulizonazo umeshaziweka mfukoni tayari,hapo unatembea na kichwa kama kiungo cha mwili tu.
 
Haya mataifa mawili yanapigana juu ya ardhi(makazi), watazamaji tunaangalia udini🤔
 
Huo ndo ukweli mengine ni porojo tu
 
Hiyo ardhi ni ya Israel sio ya wapelestina
 
wakristo wa kweli ni wale wa Lebanon wanaopigana bega kwa bega na waislamu kuifurumua Israel.Huku kwetu wayahudi wamefanikiwa sana kuteka wakristo kuingia upande wao kwa kutumia yanayoitwa makanisa ya kisabato.
.......... Sawa tu na huku kwetu waislam walivyotekwa na vikundi vya kigaidi kama Hamas, Islamic Jihad, Al Qassam, Hezbollah, Isis, Al Qaeda, Al Shabaab nk.
 
Ukweli ndio huwezi kukubali occupation kizembe hamas acha wapambane mungu awasaidie wakaleta propaganda eti watoto wamechinjwa na biden mwanzo alitoa uongo huo hadi ikulu yake ikamkana ,
Sasa hawana nguvu ya kushindana na bwana netanyahu
 
Ukristo ni jina la wanaofuata Mafundisho ya Massiah Jesus
Ikiwamo na ndoa za Jinsia 1 ???
 
Hao ni wale Wakristo waliokuwa na akili zao. Sio hawa ambao Kila siku wako bize na kuanzisha kwaya za kukata mauno, kubariki ushoga na Waraka za kukataaa uwekezaji wa Bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…