Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Point yako ni nini? Wala haiondoi kuwa Israel ni taifa teule la Mungu. Chimbuko la Yesu mpk manabii ni Israel.Pale ambapo wakristo wa tandale wanawashobokea jews,hao waisrael hawataki hata kuskia kuhusu ukristo.
Fuata unachoamini wewe! Niache ninachoamini Mimi.Ni kweli wew Ni mkristo? Mbona hujui taifa la Mungu ,kiufupi hujui usemacho wakristo tunajitambua na tunajitambua taifa la Israeli
HUwezi kujustify wizi kwa kumsingizia mungu kuna duniani kuna mikataba ya kimataifa hiyo ndio misingi ya mipaka duniani ndio maana unaona ukraine siyo part ya russia kama ilivyokuwa zamani, na zanzibar ni part ya tanzania, mikata ya mipaka ilishawekwa na oslo treaty israel anakiuka mikataba kwasababu asili yao ni wiziHakuna taifa linalokaliwana Israel somen biblia na sio Quran ,Hilo taifa Lina mipaka ilowekwa na Mungu mwenyewe .hao wanaojiita wapalestina hawapo hawana taifa
Waislamu na Waarabu wote wapo kwenye Dini moja Ya Uislamu Ila wayahudi na wakristo wana dini mbili tofautiMbona waislamu wakiafrika huona waarabu ni ndugu zao wakati ni watumwa wao?
Muislamu muafrika ni mtumwa wa Mwaarabu na mtumwa haistahili maisha mazuri.
Mwaarabu huwajengea msikiti, kuwapa Quran, kuwachimbia kisima cha kujitawazia, kuwapa tende na maji ya zamzam. Haya ndiyo anatakiwa apewe mtumwa wa muislamu mwaafrika na siyo kujengewa hospital, shule, vyuo vya ufundi au kupewa mikopo ya kuwawezesha.
Mfano hai
Gadhafi aliwajengea watumwa msikiti mkubwa ila hakujenga shule au hospitali. Kwanini?
DP World, inashindwa kuwajengea hospital? Ila inawajengea msikiti. Ukimaliza kuswali nini kinafuata?
Mbabe abaki na kuendelea kuishi paleAwapelekee mikate Hamas waendelee kupigana, hatutaki habari za cease fire, waachwe watwangane tu.
Maelezo marefu yasiyokua na maana yeyote,comment yako ni yakipumbavu sana,umeniquote kitu kingine kabisa na ukacomment maelezo ambayo wala hayahusiani na comment yangu,Ukweli mchungu. Mwaarabu humchukulia mwafrika mweusi muislmu ni mtumwa wake ndiyo maana hawezi kumfanyia jambo la maendeleo kwasababu ni mtumwa na mtumwa haistaili maisha mazuri.
Mtumwa mwaafrika wa kiislamu anatajengewa msikiti, atawapa Quran, kuchimbiwa kisima cha kujitawazia, kupewa tende na maji ya zamzam.
- Mwaarabu hawezi kuwajengea shule muislamu mweusi kwasababu ni mtumwa. Kipindi waarabu waislamu wanafanya biashara ya watumwa na pembe za ndovu hawakujenga shule, vyuo au vyuo vya ufundi mpk sasa.
- Mwaarabu hawawezi kumjengea muislamu mweusi hospitali. Mtumwa haistaili maisha mazuri.
Mfano hai
Gadhafi alipokuja Tanzania, alijenga msikiti na siyo shule au hospital
DP World amewajengea msikiti mkubwa Mbeya na siyo hospitali
Waislamu wafrika huona waarabu ni ndugu zao kumbe ni watumwa wao
Story za Mtaani zipi wajua Israel aliichukua Ardhi ya Gaza na Sinai kwa Mtutu Wakaelewana na Egypt akaiachia Sinai na Gaza kwa Mamlaka ya Egypt ila Egypt akaikataa Gaza.. so Israel akaitawala Gaza hadi 2014 Mkataba wa Oslo... Gaza ikawa chini ya Mamlaka ya PLO Palestinian Administrations ukaja Uchaguzi Hamas wakauteka na kuchukua Mji... Wakaja na Slogan ya kuchinja chinja Wayahudi wote katika ardhi ya Judea... mziki ndio ukaanza hapo ila palikuwa shwari kabisa waisrael waliujenga mji huo na walipoondika walilia sana Machozi.. na kumlaani Waziri mkuu wakati ule Yitzack Rabin masikini raia mmoja wa Israel alimpiga risasi kwa machungu Waziri Mkuu. So unapoitetea Hamas unakuwa unaungana nao katika Slogan ya Ku wa Sloughter Jews and Christians sababu wana Fallows Qoran... hakuna cha Freedom fighters pale ni Magaidi tu na wameuthibitishia ulimwengu kuwa dhamira yao ni hiyo hivyo na wewe kaa upande wa Allah ule Kichapo ukitishia Uhai wa Jews na Christians utapata unachotaka kukipata... Marekani huwa wanasema Mpige mapema anayetaka kukuua... Gazan are deadman tulia tu kwenye TV uenjoy...
Pole sana.Maelezo marefu yasiyokua na maana yeyote,comment yako ni yakipumbavu sana,umeniquote kitu kingine kabisa na ukacomment maelezo ambayo wala hayahusiani na comment yangu,
Basi hapo mwenyewe unajiona umeshusha madini ya maana kinoma.
Wewe ni mpumbavu,Yesu alizaliwa Israel? Ndio unavyodanganywa hivyo? Tafuta taarifa acha kufuga ujinga kwenye hilo fuvu,nenda hata google angalia mji aliozaliwa Yesu upo Israel au Palestina?Pole sana.
Kwahiyo njia sahihi umeona ni kuwa mtumwa wa mwaarabu ili akujengee msikiti, kisima cha kujitawazia, maji ya zamzam na tende?
Kukujengea shule, vyuo au hosptali anaona mtumwa hastail hivyo.
Endelea kujifafiji. Israel ndiyo kitovu cha wakristo. Yesu alizaliwa Israel
Liwezeni Sasa kwani Kuna mtu amewazuia?.Mbona Ottoman chini ya Mehmet Ali waliliweza? Au ulisoma historia yako wapi
Yeah ni suala la muda tu ataibuka Hitler mwingine and majibu utayapata.Liwezeni Sasa kwani Kuna mtu amewazuia?.
Omba atokee Hitler mwingine. Ila siyo kuwatumia Hamas na viroketi vyao wakinyooshwa watu wanawalalamika Israel bila kulaani walioanzia hii vitaYeah ni suala la muda tu ataibuka Hitler mwingine and majibu utayapata.
Nyie huyo mpelestina anawahusu nini? Alichokoza acha apigwe tu hakuna namna.Wapalestina ni waislamu,wewe Kafiri huyo Israel hakuhusu chochote,tokeni usingizini wagalatia.
Wewe zuzu tumia akili unapoquote comment zangu,amechokoza wapi? unajua kua alichofanyiwa Israel kwa siku moja ndicho wanachofanyiwa wapalestina kila siku? umeanza kufuatilia issue ya Palestina na Israel baada ya ile attack tu?Nyie huyo mpelestina anawahusu nini? Alichokoza acha apigwe tu hakuna namna.
Wauchukie wasiuchukie watatijua wenyewe, Hawa Hamas waachwe wapigwe tu.Wewe zuzu tumia akili unapoquote comment zangu,amechokoza wapi? unajua kua alichofanyiwa Israel kwa siku moja ndicho wanachofanyiwa wapalestina kila siku? umeanza kufuatilia issue ya Palestina na Israel baada ya ile attack tu?
Wagalatia muwe waelewa,Judaism na ukristo ni sawa na maji na mafuta,Waisrael wanauchukia ukristo na wala hawaukubali,siku nyingine ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya au acha kuquote comment zangu kwa akili yako ya kichwa cha panzi.
Waislam kuwakosoa Wakristu wanaoamini Israeli ni taifa teule haina mashiko. Israeli ni taifa la Kiyahudi na siyo Wakristu na hili liko dhahiri. Kilichopo ni kuwa, Israeli ina historia kubwa ya Ukristu na siyo kingine. Waislam wana ulaghai, watakuambia Israeli imelaaniwa, ila wana msikiti wao wa kubumba wa Al Aqsa uko Israeli na ni mojawapo ya maeneo matakatifu sana katika Uislam.Mimi ni mkristo, ila sijawai kuwa na aina ya mawazo kama wengine khs Israel, naona ni taifa kama taifa tu kama Tz tu...mambo ya Taifa teule nimekataa kabisa...Mungu ni wa wote wamfuatao.