Katibu Mkuu wa CCM atoa onyo kwa Membe akimtaka kutokuwa juu ya katiba ya chama

"MZEE KIKWETE ALINITUMA KWA NYERERE!"SEHEMU YA 7!!!Mkuu GARATHBALE UKO WAPI?AU MODS WAMEKUBANIA???UKANA SHILUNGO MWAMBIE JAMAA AACHIE UZI HAPA!!!!!!2020 twende na membe!kachero mbobezi ambae ataleta mfumo wa kutatua kero na sio kugawa gawa hela barabarani kama leo kule kahama!!!yaani kero zitatuliwe pale tu jiwe akipita na msafara na sio taasisi zitatue kero??????
 
Ungetusaidia kafanya nini tena safari mpaka hii mikwara ya chama chenye democrasia ya juu inapigwa hivi.'' Niguse ninuke'' 😂 😂 😂
 
Mbona hajataja hilo kosa soecifically?

CCM hairuhusu demokrasia ya wanachama wake kujieleza?
 

Meko Muoga sana
 
Wana jf!kwanini mnashindwa kujua kosa la membe kwa mujibu wa bashiru?Kosa la membe ni kutaka kuchukua fomu ya uraisi 2020!!!jiwe alipita ili kupoza vita vya makundi 2015!sasa kundi moja linataka kurudi kama walivopatana kipindi kile!sasa jiwe kanogewa na utamu wa kukata kiu ya kihisia ya muda mrefu ya kushindwa kumpata cheupe na kujenga chato!!
 
Jiwe na bashiru kila wakilala wanamuota membe tu.. Mwenzao amekaa zake rondo huku hana mpango na mtu
 
Lakini kwa ufahamu wangu kiasi "utaratibu sio sheria", kwahyo muda wowote unaweza ukavunja utaratibu ili kunusuru kitu bila madhara na kushtakiwa popote.

Wala ccm haina huo utaratibu; imetokea tu bahati njema kwambà katika awamu zote nne zilizopita hakutokea kiongozi ambaye amesababisha mjadala iwapo anafaa kuendelea kipindi cha pili! Na je, kutoa maoni binafsi kuhusu mambo ya kitaifa ndiyo kuvunja katiba ya ccm?
 
Eti tulimuita hakuja. Anajua akienda anaweza wekwa house arrest
 
Kuna watu wanaandaliwa mgombea hapa 2020 wampokee.Na walivyo weupe kichwani unaweza ukashangaa akapata shavu upande wa pili.
Huyo wa kwenu wenyewe anawahenyesha kimtindo,mtu yuko kimyaaaa anawachora mnavyojikanyaga. Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka 2020 mtaka msitake habari ndiyo hiyo. Go Membe go!!!!!
 
Na Mgombea uwenyekiti Chadema ni yule yule Mbowe! Chama kinachotetea demokrasia nchini Tanzania wakati chenyewe hakina demokrasia! Ahahahahahah!
Ndiyo tutakayemchagua, mnamuogoooopa!!! Nguruwe wa Lumumba mnahangaika sana na Mbowe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…