Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea ushahidi ndugu,nipo namalizia hili jambo.Dk. Bashiru Ally mwana CUF aliye ukwaa Ukatibu Mkuu wa CCM
Ungetusaidia kafanya nini tena safari mpaka hii mikwara ya chama chenye democrasia ya juu inapigwa hivi.'' Niguse ninuke'' 😂 😂 😂![]()
Bernard Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).
Onyo hilo limetolewa leo tarehe 27 Novemba 2019 na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM, wakati akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Konani kinachorushwa na Kituo cha ITV, kupitia chaneli yake ya Youtube.
“Membe ni mwanachama mwenye haki ya kikatiba lakini ana wajibu. Kwa hiyo kama anataka kuwa mwanachama wa CCM kama walivyo wengine, lakini wametupa ushindi tunaojivunia afutae utaratibu. Asipofuata utaratibu, atalazimishwa kufuata utaratibu,” ameeleza Dk. Bashiru.
Hata hivyo, Dk. Bashiru amesema Membe hakuwahi kujadiliwa katika vikao vya chama, licha ya kwamba hakuitikia wito wake, alipomtaka kuonana nae akiwa mkoani Geita.
“Hatukuwahi kumjadili na kwenye vikao hakuwahi kufika. Kosa halifi kama jinai, kosa halifi unaweza ukadhani limekufa kumbe ni utaratibu wa wakati. Kupitia kwako, naomba kueleza wana CCM tuko makini kulinda utamaduni wa chama, na wanachama kutii viapo vyao,” amesema Dk. Bashiru.
Mbona hajataja hilo kosa soecifically?![]()

![]()

Kwani kafanya nini mbona malalamiko tuu
Huyu inaonekana atachukua fomu
Lakini kwa ufahamu wangu kiasi "utaratibu sio sheria", kwahyo muda wowote unaweza ukavunja utaratibu ili kunusuru kitu bila madhara na kushtakiwa popote.
Na kwamba tanzania ina utamaduni wake wa kufuata Katiba ya nchiAmwambie na Jiwe afuate Katiba na Sheria za Nchi na Si kuongoza Nchi Kwa Utashi wake.
Huyo wa kwenu wenyewe anawahenyesha kimtindo,mtu yuko kimyaaaa anawachora mnavyojikanyaga. Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka 2020 mtaka msitake habari ndiyo hiyo. Go Membe go!!!!!Kuna watu wanaandaliwa mgombea hapa 2020 wampokee.Na walivyo weupe kichwani unaweza ukashangaa akapata shavu upande wa pili.
Ndiyo tutakayemchagua, mnamuogoooopa!!! Nguruwe wa Lumumba mnahangaika sana na Mbowe .Na Mgombea uwenyekiti Chadema ni yule yule Mbowe! Chama kinachotetea demokrasia nchini Tanzania wakati chenyewe hakina demokrasia! Ahahahahahah!