Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Chongolo amewa outsmart kwa kuvujisha barua yake ya kujiuzulu kwani nia yao ilikuwa kumdhalilisha kuwa ametumbuliwa.
 
Tetesi na chanzo ni online blog

Leo muhusika alikua mwenyekiti wa kikao Cha Sekretariet ya Chama ( kikao Cha maandalizi ya vikao vya Cc na Nec)

Mabadiliko kwenye vyama vya Siasa ni jambo la kawaida nashangaa wanaolipwa kumkashifu Ndg Chongolo
Huo ni ugomvi wenu wenyewe huko CCM
 
CHADEMA NI Kufungiwa nje ya Nyumba na Mke kama Dkt Slaaa au kuitwa msaliti kama Zitto, Kitila

Au Kutekwa na kugekul chupa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka hapo kugekul chupaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

asante kwa kunichekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…