dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Chongolo Ni mwanasias nguli toka lini yaaan kutoka ukuu wa wilaya had ukatibu mkuu una kuwa nguli[emoji1241] Kwanza hiyo sio handwriting ya mwanadiplomasia na mwanasiasa nguli kama yeye, hiyo imetengenezwa mitaani tuu
[emoji1241]Pili, ni mtu mtulivu mwenye kiwango Cha juu Cha Emotion intelligence hawezi kufanya hivyo
[emoji1241]Tatu hawezi kuharibu carrier yake ya Kisiasa kwa kuchukua uamuzi wa namna hiyo. Kwenye siasa Bora kutumbuliwa unaweza kupata nafasi nyingine kuliko kujitumbua
[emoji1241] Chama kina watu makini,wakiwemo wazee wabobezi wa siasa na busara, kama wamepata Taarifa lazima wangemuita na kusuluisha chini CHINI. Hii barua ni ya mchongo Kamwe haiwezekani
Nguli nikina George nkuchika ,mwigulu ,kiinana ,kikwete