Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Atakuwa ni Mpuuzi kujiuzulu unless yeye anaona hawezi fanya kazi na Makonda
Sasa Hadi udhalilishwe ndio ujiuzulu?
 
mwanasiasa makini husoma alama za nyakati kwa umahiri mkubwa sana
Uongozi imara, shupavu na makini ni pamoja na kuwajibika mwenyewe kwa hiari
 
Atakuwa ni Mpuuzi kujiuzulu unless yeye anaona hawezi fanya kazi na Makonda

Sasa Hadi udhalilishwe ndio ujiuzulu?
Kama ni kweli basi huyo Karibu Mkuu yupo very smart !
Hayo mambo huwa tunayafanyaga sisi wa kutoka First World 🌎 !!
Huwa hatusubiri kutenguliwa au kufukuzwa maana ni Aibu kutimuliwa !πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…