Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

mwanasiasa makini husoma alama za nyakati kwa umahiri mkubwa sana

Uongozi imara, shupavu na makini ni pamoja na kuwajibika mwenyewe kwa hiari
Jamaa yupo vizuri sana !!
Wangekuwepo wa namna hiyo mpaka Kwenye nyadhifa nyingine nyingine za kuteuliwa hivi sasa tungekuwa mbali kama Nchi !😅🙏🇹🇿🙏
 
😀😀😀 Tatizo hata Nikikuuma sikio huwezi kunielewa! Ila nikwambie tu! Msoga gang na mama hawaelewani! Mama kaona Sehemu ya Kukimbila ni Sukuma gang!
Ni sahihi kabisa na kwenye siasa ni Bora zimwi likujualo halikuli likakwisha.

Kwani Msoga gang walikuwa wanatakaje wao? Naunga mkono awashighulikie akiwemo Kinana.
 
Habari ndio hiyo!.

Wanabodi
Hii ni C&P from X
My Opinion
This is just too good to be true!.
Kwasababu, tangu baada ya kuteuliwa Mwenezi mpya, KM Chongolo was too cool, too calm na kumwacha Mwenezi atambe na ku trends.

Anayeidhinisha bajeti ya matumizi ya chama ni KM, hata yeye KM mwenyewe huwa hazunguki na a pool of media kubwa kama ya Mwenezi anayozunguka nayo na kum trendisha!.

Kwa vile kule nyuma Konda Boy akiwa RC wa DSM ni boss wa Chongolo akiwa DC Kinondoni, alimkaripia kwenye kadamnasi ya watu mkutanoni na kumuamuru! nyamaza wewe, kaa chini!.

Sasa Chongolo ni Boss wa Konda Boy, Mwenezi lazima aombe ruhusa kwa KM akubaliwe ndipo afanye ziara!. Inawezekana KM na yeye anaona dogo anafanya amsha amsha huku na kule bila yeye kuidhinisha hivyo amekuwa by passed na dogo, baada ya kugundua hilo, akaona ili kulinda hadhi na heshima yake, bora awaachie chama chao!.

If this is true, Nchimbi kaa mkao wa ...

Paskali
NB: Nimeipandisha hii story, thread ikafutwa fasta, ila hapa imepandishwa.
P
Umefikiri vyema...

Hii hoja yako, likely, imeunusa ukweli wa maamuzi ya huyu KM wenu...

Nafikiri pia, baadhi ya viongozi wakuu wa CCM hawakubaliani Paul Makonda a.k.a DAB kupewa nafasi hiyo ndani ya chama kutokana na tatizo la uadilifu wa kimaadili alilonalo huyu uliyemwita "dogo" yaani Paul Makonda..

Mimi sitashangaa hata Makamu Mwenyekiti wenu Abdulhaman Kinana akitupa jezi pia..!!
 
Back
Top Bottom