Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Uko CCM ni nani mwenye maadili anaweza simama kumsema mwenzie kuwa hafai kabisa kuwa CCM au kuwa kiongozi kabisa! Nani msafi ndani ya CCM?😂😂😂😂😂
Pengine hayupo...

Lakini wengine uchafu na uovu wao ingalau umefichika...

Wa huyu Paul Makonda a.k.a Daudi Albert Bashite Malyangili uko wazi mno na haileweki waliompendekeza kuwa the face of CCM party walikuwaga wanawaza nini tu..
 
Kuwajibika mwenyewe kwa hıyarı ina maana kuna makosa amefanya?
unaweza kuwajibika kwa hiari ukapumzike zako na familia yako, unaweza kuwajibika kwa sababu za kiafya,
unaweza kuwajibika kwa kujitathmini kwamba huna jipya tena miongoni mwa uliyoyafanya, ukatoa fursa kwa wengine,
unaweza kuwajibika kwa tuhuma tu whether ni kweli au uongo, ili kuhifadhi hadhi ya taasisi unayoitumikia na hadhi yako mwenyewe na kwamba hiyo inaweza kukupa credit ya ungwana ukapewa fursa sehemu nyingine...

unaweza ukashinikizwa kuwajibika kwa ababu za kisiasa, maadili mathalani rushwa, uwezo mdogo n.k
 
Back
Top Bottom