Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Ngoja niamini kwamba ni kweli...Ila...kama ni kweli ndo mwandiko wa katibu Mkuu ambaye ni mwandishi wa habari kwa taaluma?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua fika kuwa wakati Makonda akiwa RC wa Dar es Salaam na Chongolo ni DC wa Kibindoni walikuwa hawapatani kwani kuna Mmoja kati yao ana Akili na Mmoja ni Mpumbavu Kiasili halafu leo tena unaowaleta pamoja ndani ya Chama Tawala ( CCM ) huku kwa Makusudi, Mahaba na kupenda Kudanganya na Wanafiki unampa Jeuri na Upendo wa wazi wazi Mtu ambaye ndani ya Katiba ya Chama ni mdogo kuliko Katibu Mkuu na unataka Katibu Mkuu amnyenyekee yule anayetakiwa Kumyenyekea Yeye.

Kwa hapa / kwa hili kama ni la kweli ninampongeza sana Bwana Chongolo kwani alichofanyiwa ilikuwa ni Dharau isiyovumilika.

Na najua Chongolo ana Watu wake ndani ya System ya Nchi na Chama ( CCM ) ambao wamemdokeza mapema kuwa Kikao cha leo ( cha CCM ) anaenda Kung'olewa hivyo nae kawa very smart kwa kuwawahi kwa kupeleka Barua ya Kujiuzuru hivyo hatongolewa tena hii leo ( Jumanne ) Kikaoni CCM kwa Mipasho ya Paje Kizimkazi Zanzibar.
Dc wa kibindoni?
 

Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo.

Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama (NEC), ambavyo vinafanya vikao vyake vya kawaida jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2023, huenda vikampitisha Katibu Mkuu mpya wa CCM ambaye atachukua nafasi ya Chongolo.

Sababu za kujizulu kwa Chongolo tutawaletea baadae.
Chama kime fitinika..
Ata fanyaje kazi na wauaji?. Wampe hiyo nafasi muuaji Sabaya au Hapi. Tutegemee kusikia tena kwa comrade Kinana.
 
Wajiudhuru wote ili wananchi wenye mapenzi mema na nchi hii tupate ahueni. Kwani wanafaida gani kwa umma??
makonda atakiumiza chapa hadi kiseme puu.

huwez kumteua mtu aliye mchafu kama makonda ambaye alikuwa chawa Mkuu wa yule marehemu sheitwani mkuu aliyekua anaamuru vyombo vya usalama kudukua mawasiliano ya wenye chama.
unamdukua makamba,jk,kinana na wengineo halafu upandishwe cheo tena ndani ya chama.
bora angemteua na kumpa nafas za serikali
 
ni sehemu gani ya mwili wako inakuwasha kiasi hicho. Mtumie mamako aliyekulwa we pmumbavu huu ushuzi wako. Hivi nawe unajiita binadamu? Shenzy kabisa. Nafikiri mamako ndio amejiuzulu ndoa na babako. Post km hizi ndio zimeiua JF, we ni mchawi siyo bure
we ni KITE kabisa
mwenzio kaleta taarifa basi pinga kwa taarifa kinzani syo matusi punguani wewe
 
Kuna barua feki inatembezwa au kusambazwa mitandoni eti chongolo Kajiuzulu.

Chongolo hajajiuzulu yupo ofisini anachapa kazi. Hii barua ni fake..angalia hata paragraph ya Mwisho. Mmegushi hata saini yake
Screenshot_20231128_125729.jpg
 
makonda atakiumiza chapa hadi kiseme puu.

huwez kumteua mtu aliye mchafu kama makonda ambaye alikuwa chawa Mkuu wa yule marehemu sheitwani mkuu aliyekua anaamuru vyombo vya usalama kudukua mawasiliano ya wenye chama.
unamdukua makamba,jk,kinana na wengineo halafu upandishwe cheo tena ndani ya chama.
bora angemteua na kumpa nafas za serikali
Bado hujasema maku wewe
 
chongolo anataman nchi isimame wananchi wapate utulivu na ametumia muda mwingi hata kutuaminisha wananchi

mfumo unamuangusha
mwenyekit na wajumbe wa pembeni wanamuangusha


anataman kuwa na msimamo wa makonda ila shidaaaa itakuja baadaye


hisia zangu na ndoto
 
Back
Top Bottom