Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Habari ndio hiyo!.

Wanabodi
Hii ni C&P from X
My Opinion
This is just too good to be true!.
Kwasababu, tangu baada ya kuteuliwa Mwenezi mpya, KM Chongolo was too cool, too calm na kumwacha Mwenezi atambe na ku trends.

Anayeidhinisha bajeti ya matumizi ya chama ni KM, hata yeye KM mwenyewe huwa hazunguki na a pool of media kubwa kama ya Mwenezi anayozunguka nayo na kum trendisha!.

Kwa vile kule nyuma Konda Boy akiwa RC wa DSM ni boss wa Chongolo akiwa DC Kinondoni, alimkaripia kwenye kadamnasi ya watu mkutanoni na kumuamuru! nyamaza wewe, kaa chini!.

Sasa Chongolo ni Boss wa Konda Boy, Mwenezi lazima aombe ruhusa kwa KM akubaliwe ndipo afanye ziara!. Inawezekana KM na yeye anaona dogo anafanya amsha amsha huku na kule bila yeye kuidhinisha hivyo amekuwa by passed na dogo, baada ya kugundua hilo, akaona ili kulinda hadhi na heshima yake, bora awaachie chama chao!.

If this is true, Nchimbi kaa mkao wa ...

Paskali
NB: Nimeipandisha hii story, thread ikafutwa fasta, ila hapa imepandishwa.
P
Vita
Unajua fika kuwa wakati Makonda akiwa RC wa Dar es Salaam na Chongolo ni DC wa Kibindoni walikuwa hawapatani kwani kuna Mmoja kati yao ana Akili na Mmoja ni Mpumbavu Kiasili halafu leo tena unaowaleta pamoja ndani ya Chama Tawala ( CCM ) huku kwa Makusudi, Mahaba na kupenda Kudanganya na Wanafiki unampa Jeuri na Upendo wa wazi wazi Mtu ambaye ndani ya Katiba ya Chama ni mdogo kuliko Katibu Mkuu na unataka Katibu Mkuu amnyenyekee yule anayetakiwa Kumyenyekea Yeye.

Kwa hapa / kwa hili kama ni la kweli ninampongeza sana Bwana Chongolo kwani alichofanyiwa ilikuwa ni Dharau isiyovumilika.

Na najua Chongolo ana Watu wake ndani ya System ya Nchi na Chama ( CCM ) ambao wamemdokeza mapema kuwa Kikao cha leo ( cha CCM ) anaenda Kung'olewa hivyo nae kawa very smart kwa kuwawahi kwa kupeleka Barua ya Kujiuzuru hivyo hatongolewa tena hii leo ( Jumanne ) Kikaoni CCM kwa Mipasho ya Paje Kizimkazi Zanzibar.
Hii vita sijui kwanini nahisi hajahusika Makonda ila kwakuwa ndiye adui na anayeonekana kuwa mhuni wa wazi ataangushiwa yeye na ni namna ya kumfanya aliyemteua asiendelee 'kukosea'. Siamini kwa dhambi zake angeingia kwenye vita na mtu aina ya Chongolo ambaye ukimwangalia kwa haraka mwepesi but haiko hivyo. Ana watu.
 
Ha ha ha haaaaaaaaa mkuu tumeipuuza barua hiyo. Umetukumbusha 2021. Tunamtakia siku njema KM.
 
Kiongozi anaweza fanya maamuzi ya kiufundi, asiwe na uhakika na asilimia ngapi lengo lake litatimia na muda gani itachukua kufikia hazma yake.

Kwenye uteuzi wa Makonda inaonekana ‘bi tozo’ huko halipo anatabasamu kila saa kama lengo lilikuwa ni kuinua brand CCM kwa walalahoi na kuwanyima usingizi wapinzani wake wa ndani na nje ya CCM.

Watu wanaweweseka na uwepo wa Makonda CCM, imefikia kila siku uzushi mpya ndani ya chama toka afike hapo na kutafuta mitafaruku hewa.

Never let your opponent know what your thinking, based on this move ‘bi tozo’ keshapata picha ya haraka nani enforcer wake hakimuhitaji kwa jinsi Makonda anavyo ogopwa na watu kadhaa na anavyoaminika na watu kadhaa.
 
Screenshot_20231128_132852_Samsung Internet.jpg
 
Kuachia ngazi mwenyewe ni kufunga milango ya kupata teuzi ama kupitishwa na vikao vya chama kwenye nafasi nyingine wakati mwingine.

Kwa umri wa Chongolo sifikirii labda ingekuwa Kinana.
 
Back
Top Bottom