Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally kuongea na Mabalozi tarehe 15 Oktoba 2020

Ni heri atawale hata lipumba au mama sendiga lkn sio kibaraka,kiujumla ni heli kidogo ninachokipata kuliko kumpa kibaraka nikakosa kabisa na natumai waswahili hamjatujua hiyo tar 28 tutafanya nini.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hiyo inaitwa apakati chembe kidevu, mzee lazima ukae kama mzigo wa kuni mbichi hasa ukitumia "ze nkuzi dachi au mayoko"
 
Huyu aliweka kiswahili iwe kipaombele hata kwenye SADC kwa vile hajui kuongea english ,kuzuga watu ,wasijue akasema kiswahili itumike
Basi huyo ndio anafaa kwa kuikuza lugha hii adhimu katika bara la Afrika na kukuza fursa za ajira kwa watanzania
 
TUMECHOKA KURUDIA RUDIA AKINA KIMJONG VLADIMIR PUTIN TOKA CHEKECHEA HADI CHUO KIKUU WANATUMIA LUGHA ZAO. SASA HUYU WA KWETU KASOMEA HADI PHD KIINGEREZA NARUDIA TENA HADI PHD KWANINI KIINGEREZA KINAMPIGA CHENGA?

TUMECHOKA KURUDIARUDIA HILI SIJUI AKINA PUTIN OHHH SIJUI KIM JONG.

Magonjwa Mtambuka
 
Jiwe kaingia chaka kisa kiingereza bora angechunga mbuzi tu
 
Naona misukule ya mbogambogani imekurupuka yote kwa wakati mmoja.
Yaelekea posho ya leo mmelipwa bila taabu, mmeongezewa posho au mmepandishwa madaraja!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabalozi karibuni Sana Chama Cha kupigiwa mfano Afrika.

Chama kilichoshiriki kuzipatia nchi nyingine za Afrika Uhuru wake.

Hivyo unapozungumza neno UHURU CCM ndiko mahali pake.
Enzi za kupigania uhuru wa nchi za Afrika ulikwisha, sasa CCM imebaki ya kuminya uhuru wa wananchi wake na kuungana mkono uminywaji wa uhuru wa wananchi wa nchi nyingine.
 
Saa ngapi? Asubuhi au jioni?
 
unafikiri mabalozi ni wakudanganya? unafikiri yote haya hawayoni au hawayajui? kwani ni nani asiyejua uhuru wa vyombo vya habari umeminywa nani asiyejua lissu alipigwa risasi na utawala huu? nani asiyejua utawala huu umepoteza wengi? nendeni mkajivue nguo hapo mwamba atakapowajibu
 
Hilo ndio tatizo lenu hamshirikishi vichwa kabla ya kusema/kuandika. Nani asiyejua Rais alikuwa anatania ili kunogesha mkutano?
Eti anatania hata kutoleta maendeleo kwa wale ambao hatachagua chama chake ana nogesha mkutano wewe nyambaf
 
Msijisahaulishe, MABEBERU wanajua kinachoendelea na washatupiga paper za warnings kibao.
 
Hivi Zuchu, Giggy money na Nandy watakuwepo pia ukumbini kuwaburudisha mabalozi kwa kukatika viuno na kuonyesha nyeti zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…