Uchaguzi 2020 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally ndani ya Dakika 45 leo Septemba 14


Hagombei urais mbona anakwenda kumfanyia mtihani muhusika? Mwambie aje la list ya vile viwanda 100@mkoa.
 
Comrade tukutane tena October naimani hutaikimbia I'd yako

Hiyo October 28 hakuna uchaguzi, bali ni kilele cha maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Tumeona tayari kipindi cha Lissu ITV, hamna cha maana, Magu kwenda hapo hapo ni kumpa kiki tu Lisu, size ya Lissu ni Polepole.

Ni kweli kabisa, ila hicho kipindi kwa sasa ni kwa ajili ya wagombea wa urais. Mtoeni Magufuli ili Polepole akagombea aende kwenye hicho kipindi. Mwanafunzi mwenye akili hufanya mtihani mwenyewe, na wala hatumi mtu kumfanyia.
 
Hiyo October 28 hakuna uchaguzi, bali ni kilele cha maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Sasa mnafanya kampeni za nini comrade mbona mnajichanganya?
 
Wasanii wanaotembea na Magufuli kwenye kampeni za urais ni sawa na ubwabwa wa Mzee Rungwe. Vyote ni rushwa na kutojiamini uwezo wako wa kuvuta watu kuja kukusikiliza.
Tafuteni hela msitake kuambukiza watu umasikini
 
Kwanini asije mgombea mkuu mwenyewe...
 
Ati kupiga kampeni wakati yuko chaliiii kwa ushauri wa waganga wake uko kwao chato
Magufuli ana kazi mbili kubwa kwasasa kuongoza nchi kama Rais na kufanya kampeni kwa wakati mmoja.
 
Ah ah walidai upinzani ungekuwa umekufa by 2020 kwa mazuti aliyoyafanya, sasa leo wanaenda kujitetea ktk tv.
Kweli magu lzm awaadabishe washauri wake kwa kumuongopea kwa kipindi chote cha miaka mi5
Kila chama na mikakati yake, wao CDM wamempeleka Lissu kwenye hicho kipindi, Magu yeye ameamua kutembea kijiji kwa kijiji, kila mtu ashinde mechi zake tusilazimishane njia za kupiga kampeni.
 
Tofautisha Rais wa JMT/ bingwa wa kupambana na corona duniani NA wachumia tumbo wengine
 
Kwanini azije JPM mwenyewe..?mana yeye ndiye mgombea na wagombea wenzake wote wamekuja katika hicho kipindi yeye ana excuse gani kama mgombea.?

Pili kabla hajaeleza mengi tunamtaka ajibu kwanza swali kwanini ameamua kutumia wasanii katika kampeni ilihali yeye ndiye aliye kataa utumiaji wa wasanii katika kampeni..?

#MaendeleoHayanaChama
 
Dadeki Magu kautia mpira kwapani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli CCM wanapata shida sana mwaka huu!!! Wameona isiwe tabu asije akaenda akaharibu zaidi, wamempeleka Bashiru πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na kutoa unifom za ccm kwa vitoto vya shule mkivilazimisha kujaa kt mikutano ya ccm kama ule wa kirumba mwanza ina maana gani au kwa ccm au ndo pale unapojitekenya ili ucheke?
Comrade umeshawahi kijiuliza kazi ya kengele kanisani na adhana misikitini ni nini? Wasanii wanakuja kutoa burudani maana kazi na dawa pia ni mbinu ya kuwavuta watu waje wasikilize sera makini za chama cha mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…