johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa...... Lisu ni mwepesi sana!Huyu mwamba ni Lumumba fc lakini mada zake mwanzo zilikuwa zinabalnce ,lakini sijui amekengeuka kabisa,Lisu amewaelemea safari hii.
Ile taarifa ni ya Ufipa sema ilipotoka Sabaya akaanza kujimwambafy kwamba mmemuogopa, ndiposa ikapigwa U turn!sasa Comrade na ujanja wako wote unalishwa matango pori na mataga wenzako na wewe unasambaza taarifa?
Natarajia NEC wakuite kwa upotoshaji wa taarifaNdio maana nilimuita Mnyika aje atufafanulie!
Rudini shule nyieNdio maana nilimuita Mnyika aje atufafanulie!
Hahahaaaa.......!Natarajia NEC wakuite kwa upotoshaji wa taarifa
wewe na sabaya wote mnafanana akili.Ile taarifa ni ya Ufipa sema ilipotoka Sabaya akaanza kujimwambafy kwamba mmemuogopa, ndiposa ikapigwa U turn!
Tupo hapa Machame bwashee tunamsubiri mgombea wa JJ Mnyika!wewe na sabaya wote mnafanana akili.
Toka upotoshe kuhusu mkutano wa Lissu bagamoyo, jukwaa limeshakupuuza. Usitafute credibility kuonekana mpinzani ili eti siku ukikosoa uonekane upo objective.Ratiba ilikuwa inamtaka awe hai leo huko kwingine alikuwa anapita tu kama ambavyo alivyofanya jana kupita nyamongo au mfano anavyofanya leo magu kupita ifunda, mafinga, makambako, igawa, chimala na kuelekea mbeya,
hivi ni kwa nini huwa hamfatilii??View attachment 1584317
haya tumesitisha mkutano ondokeni hapo upesi.Tupo hapa Machame bwashee tunamsubiri mgombea wa JJ Mnyika!
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, kupitia mtandao wa twitter,ametaka watu kupuuza tangazo linalodaiwa kutolewa na chama chake, tangazo linaodai kuwa kampeni za Mgombe Urais wa CHADEMA zimeahirishwa.
Mnyika amesema tangazo hilo ni fake na kutaka lipuuzwe.
Kumbe ni kweli bwashee!haya tumesitisha mkutano ondokeni hapo upesi.
wewe na sabaya mmechoma pesa zenu bure kuwalipa wahuni.Kumbe ni kweli bwashee!
Huko huko twitterYule Yohana Mbatizaji sijui kaokota wapi zile taarifa?
Mkutano utatangazwa tena baadae!wewe na sabaya mmechoma pesa zenu bure kuwalipa wahuni.
tunawasubiri kwenye ground.Mkutano utatangazwa tena baadae!
Wewe jamaa usipoangalia,utachukuliwa kama takataka kama mwenzako P.Ndio maana nilimuita Mnyika aje atufafanulie!
Wewe utachukuliwa kama tp!Wewe jamaa usipoangalia,utachukuliwa kama takataka kama mwenzako P.
Angalia usijekuta unamtusi anayelala na yule aliyekuleta duniani,utapata laana.Wewe utachukuliwa kama tp!