Uchaguzi 2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akanusha taarifa ya kuahirishwa kwa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akanusha taarifa ya kuahirishwa kwa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

Ratiba ilikuwa inamtaka awe hai leo huko kwingine alikuwa anapita tu kama ambavyo alivyofanya jana kupita nyamongo au mfano anavyofanya leo magu kupita ifunda, mafinga, makambako, igawa, chimala na kuelekea mbeya,
hivi ni kwa nini huwa hamfatilii??View attachment 1584317
Toka upotoshe kuhusu mkutano wa Lissu bagamoyo, jukwaa limeshakupuuza. Usitafute credibility kuonekana mpinzani ili eti siku ukikosoa uonekane upo objective.

Vijana tuache unafiki kma ni CCM basi kuwa open kma ni upinzani kuwa open na kma ni neutral kuwa open sio kucamouflage ili kutengeneza credibility for future propaganda attacks.

Shame on U coward
 
maccm yanazidi kutapatapa.



Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, kupitia mtandao wa twitter,ametaka watu kupuuza tangazo linalodaiwa kutolewa na chama chake, tangazo linaodai kuwa kampeni za Mgombe Urais wa CHADEMA zimeahirishwa.

Mnyika amesema tangazo hilo ni fake na kutaka lipuuzwe.

 
Back
Top Bottom