johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa...... Lisu ni mwepesi sana!Huyu mwamba ni Lumumba fc lakini mada zake mwanzo zilikuwa zinabalnce ,lakini sijui amekengeuka kabisa,Lisu amewaelemea safari hii.
Maendeleo hayana vyama!