Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

CHADEMA kwisha kabisa kwisha
 
What if (I'm just saying what if) Mr Chairman naye yumo kwenye hiyo payroll, huku makubaliano ni kwamba yeye anachuma pesa ilhali Sisiemu yenyewe inavuna utawala?

Impossible, right?
Mkuu,
Hapa ulimwenguni kuna political maneuvering..

The consequences of political maneuvering😊

* Loss of trust
*Damage of reputation
*Lack of accountability
*Injustice
*Loss of credibility

Hizo Ni baadhi Kati ya hasara zitakazo patikana kutokana na political maneuvering so chama au mwanachama anaweza kujichagulia UPANDE..
 
Bado hujasema! Lazima useme kwa lugha, Chadema kiboko cha kuonyoosha CCM!
 
Umechambua vizuri sana
 
Chadema sio taasisi kuwa makini na kauli zako
Acha ujinga wewe CHADEMA kipo tangu 1994 hadi sasa na kina wanachama wengi kuliko vyama vyote vya upinzani Tanzania vilivyotangulia na vilivyopo sasa.Niko makini sana mimi siyo mtu wa kupelekeshwa na kejeli za kijinga ninachoamini ndiyo hicho.Damu yangu ni Group O siwezi yumbishwa na kauli za hovyo za Kimagufuri au za Kimakonda au za Lucas mjaza kurasa zisizo na faida kwa wasomaji.
 
CHADEMA inakufa
 
Tetemeko la South Africa limeanza kuleta mitetemo huku Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…