HakiKwanza_2015
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 381
- 557
Hapana wewe ni chawa wa mama Abdul!Kwani Mimi ni CCM?
Hakika.Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu.Mungu ni wake simamieni haki mtamwona Mungu
Mbowe anawachelewesha sanaHakika.Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu.
Nimeelewa kuwa wewe ni dobi wa Abdul!Hujaelewa nilichoandika soma vizuri
CHADEMA inapasuka.Hapana wewe ni chawa wa mama Abdul!
Sawa Yote maisha ila CHADEMA kwishaaNimeelewa kuwa wewe ni dobi wa Abdul!
Ungewahi usingekuwa unamtawaza Abdul!Mbowe anawachelewesha sana
HakikaCDM wakishindwa kumwondoa Mbowe ndio mwisho wa chama chao, watakuwa kama TLP.
Hilo unalolitakia CDM na iwe kwenu bila kupungua neno...CHADEMA lazima wasambaratike na kupasuka mwaka huu.
Ngoja tuone hiiUngewahi usingekuwa unamtawaza Abdul!
MUNGU IBARIKI CHADEMA.CHADEMA inakufa
Mbowe ni tatizo la muda sanaHilo unalolitakia CDM na iwe kwenu bila kupungua neno...
Chunga sana usije muaibisha baba yako kuwa ana mtoto si riziki!Sawa Yote maisha ila CHADEMA kwishaa
Mungu ni WA hakiMUNGU IBARIKI CHADEMA.
CHADEMA is dying am telling youChunga sana usije muaibisha baba yako kuwa ana mtoto si riziki!
Bora iwe hivyo tumemwamini kwa akili zetu wenyewe na siyo kwa mtutu wa bunduki.Mbowe anawachelewesha sana
🤣🤣🤣Miaka 30?Bora iwe hivyo tumemwamini kwa akili zetu wenyewe na siyo kwa mtutu wa bunduki.
Ndiyo kajipodoe asije kuta unanuka vikwapa utaachwa!Ngoja tuone hii
Mungu mbariki Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe na umpe siku nyingi.Mbowe ni tatizo la muda sana