Tetesi: Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah ila vijana wa CHADEMA mnachekesha sana
Sasa kati ya wewe na hao vijana nani anachekesha? Kutwa kufatilia habari za Chadema kama vile wewe ndiye katibu au msemaji wao, bila hao Chadema unadhani ungekuwa unalipwa kwa kazi gani? Ungelipwa kwa kuleta habari za TLP [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli watu wameichoka Ccm ila cdm bado haiaminiki kabisaaa. Mbowe watu tulishamshtukia kitambo sanaaa..
Haya yanayoendelea wala huwez kusema eti ni propaganda za kuwapoteza cxm. Not true
Sasa kama ulishamshitukia toka mapema kwanini usihamie ACT au TLP na uachane na CDM? Huoni kama wewe ndiye mjinga
 
Mbowe asipotoka safari hii, inamaanisha atakuwa m/kiti milele mpaka umauti umkute. Safari hii Mbowe ni dhaifu sana. Anaondokaaa!
Kwani kavunja katiba yao? Akiondoka ama akibaki wewe unapata faida/madhara gani?
 
Mimi huwa najiuliza, mbona wanaopiga debe Kila siku ya kumwondoa Mbowe toka Kwenye uenyekiti wake ni wale mashabiki wa Sisiem??[emoji9]
Shangaa na wewe. Ila wanachama wao wameridhia
 
Sasa kama ulishamshitukia toka mapema kwanini usihamie ACT au TLP na uachane na CDM? Huoni kama wewe ndiye mjinga
UJinga wala sio tatizo. Kila mtu ni mjinga kwa upande wake katika jambo flan.
Ni sawa na msigwa tu, ndivyo ilivyo hata kwasis wengine, tunaamini mabadiliko yanapaswa kuanzia ndani ya chama ili tuyapeleke nje, haiwezekan tu kuachana na chama kisa humkubali mwenyekit na mambo yake, but hailalish pia kuwa maadam tuko ndani bas tukae kimya.

Mmezoea kufukuza fukuza, ni hao hao walamba viatu, wengine tuna jasho letu ndani ya cdm for 20 years hatudondoki kindezi ndezi tu kisa Mbowe. Si umemsikia Msigwa? Basi hao ndio watu wenyr akili. Atanyooshwa tu humo humo chamani.
 
Unatakaje wewe Chadema ife au? Halafu? Matatizo ya nchi hii utatusemea wewe? Msijidanganye bila upinzani nchi hii isingekuwa hata na flyover Wala miradi mwingine yoyote unavyoiona. Msituambukize ujinga
 
πŸ€”πŸ€”
 
What if (I'm just saying what if) Mr Chairman naye yumo kwenye hiyo payroll, huku makubaliano ni kwamba yeye anachuma pesa ilhali Sisiemu yenyewe inavuna utawala?

Impossible, right?
πŸ€”πŸ€”πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…