johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Defender itakuwa inamsubiri pale nje endapo atavunja agizo la Dr Abbas!View attachment 1717529
Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi , fahamu kwamba neno la Chadema ndio neno la wananchi .
Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa .
Wote Mnakaribishwa .
ARV ndio nn !! wewe kilaza kweli,unaamini kuhusu ARV!! unajua implication halisi ya ant-virus .akili za kibavicha haziwez kujua haya. Bavicha bavicha the rotten spirit,mmewakabithi hadi akili zenu mabeberu,ofcoz u have no even a dot of critical thinking. Dunia ya leo na Tanzania ya leo,na ambayo tunaihitaji inataka watu wenye tough spirit, tough thinking capacity and judgement.sio ndez ndez Kama wewe.Hizo ARV unazotumia na wanaokuhusu zinatoka wapi?
Hatukatai sayansi ,ila sayansi ya kubahatisha hatuitaki!!Kukataa sayansi na kutegemea maombi ni ushirikina.
tatizo kubwa nchi hii ni kuongezeka mazuzu kwa kiasi kikubwa.watu genius wamekuwa scarce Sana.Nchi hii kasuku wameongezeka sana
siku zote , genius katikati ya kundi kubwa la normal brain,ataonekana kichaa tu.hata isac Newton mwanzo walimchulia hivo.Vichaa ndio wana maoni yasiyo na chembe ya hoja kama yako. Mabeberu umebaki kuwa wimbo wenu na si hoja.
AmsterdamMabeberu ndio nani? Wakoje? Hebu tupe picha halisi. Maana zaidi ya mbuzi dume, hatuwajui hao wengine. Ndio maana tuko njia panda, beberu lawezaje kumtumikisha binadamu?
Corona ni hatari tuchukue hatua za dhati kujikinga, tusifanye mchezo, yeyote atakayepata maambukizi atambue ndio atayapeleka kwenye familia yake, ndugu, na marafiki zake.
Jilinde wewe uwalinde na uwapendao, jukumu hilo ni letu sote, tusitegeane.
Asante kwa taarifa mkuu.Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la Chadema ndio neno la wananchi.
Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa.
Wote Mnakaribishwa.
Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi.
Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa.
Wote Mnakaribishwa.
Chama chenye Mbunge 1 wakuchaguliwa jimboni
Amsterdam
Chadema haiwalipi posho wachangiaji wa hoja hapa JF kama mnavyofanyiwa nyie kwa hizo elfu 7 kwa wikiChama kilichokata roho masaa 9 post 34
Wewe ni Mataga?