imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Tengeza ya kwako tukuone sio mdomo mrefu wakati ni ZeroHatukatai sayansi ,ila sayansi ya kubahatisha hatuitaki!!
Condom wenyewe zinapasuka kila siku lakini sijasikia Mwanasiasa yeyote anaesema hazina viwango