Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

Tengeza ya kwako tukuone sio mdomo mrefu wakati ni Zero

Condom wenyewe zinapasuka kila siku lakini sijasikia Mwanasiasa yeyote anaesema hazina viwango
lete fact hapa,sio simple thoughts.
 
tatizo kubwa nchi hii ni kuongezeka mazuzu kwa kiasi kikubwa.watu genius wamekuwa scarce Sana.

Hao scarce ndiyo hawa:

IMG_20210218_174254_207.jpg
 
Nadhani anakuja kutoa semina ambayo wamepewa na mabeberu. Sio mbaya tutamsikikiza agenda alizopewa na mabeberu.ila akae akijua Tanzania Ina viongozi wenye maono ya mbali, Tanzania Ina wananchi wenye thamani, Tanzania hatuko tayari kufanyiwa majaribio.
Hakuna beberu binadamu duniani, hizo ni kwa mujibu wa kufuu cha nazi ulichovishwa baada ya kuzaliwa bila kichwa. Kuna watu Mungu kawajalia akili, hekima, busara. Bahati mbaya wewe si mmojawao
 
Saa tano ya hapa tz au ya Marekani, kwani si ndio saa tano hii!! machadena buana!! watu hamna hata ofisi eti unakuja kuongea na wananchi!
 
Walichelewa kujaza pesa kwenye kibubu Cha boss wao wembo.[emoji23][emoji23].aibu kubwa Sana.
 
Hakuna beberu binadamu duniani, hizo ni kwa mujibu wa kufuu cha nazi ulichovishwa baada ya kuzaliwa bila kichwa. Kuna watu Mungu kawajalia akili, hekima, busara. Bahati mbaya wewe si mmojawao
Katafute maana ya beberu kwanza,soma uielewe halafu ndo urudi.kwa bahati nzuri unajitahidi kuendana na kasi ya Tanzania tunayoitaka, ila upeo wako ndo tatizo.
 
Nadhani anakuja kutoa semina ambayo wamepewa na mabeberu. Sio mbaya tutamsikikiza agenda alizopewa na mabeberu.ila akae akijua Tanzania Ina viongozi wenye maono ya mbali, Tanzania Ina wananchi wenye thamani, Tanzania hatuko tayari kufanyiwa majaribio.
Ukiita wengine mabeberu ina maana wewe ni mbuzi jike? Hili neno ni la kijinga kabisa. Mimi kama mm silipendi kabisa. Unaweza kukuta unajishusha na kumpandisha mwingine. Unakubalije yeye awe beberu, alafu wewe uwe nini sasa kama siyo jike? Tuachane na haya majina. Kumuita mtu beberu hauna tofauti na kumuita rijali kwa maana kazi ya beberu ni kutungisha mimba, sasa hapo ina maana gani? Je, ndo kusema wao ni mabeberu alafu nyinyi ni akina nani?..
 
Kumsifia mwanaume mwenzako kuwa ni beberu una maana gani? Kwa maana kazi ya beberu ni kutungisha mimba. Sasa unaposema beberu beberu ina maana wewe ni jike? Hili siyo neno zuri sana kulitumia kwenye dunia hii make ni kujishusha kila wakati. Huwezi sema mwenzio ni beberu bila kusema wewe ni jike, kwa maana kinyume cha beberu ni jike. Tuachane na haya maneno ya kurithi ujinga ili tutunze utu wetu.
 
linanikera Kama wewe linavokukera[emoji106].inshu ni msamiati uliowekwa ofcoz unakera,kwa mm ningewaita majambazi au matapeli au vinginevyo,ila nisingewapa jina la kuwatukuza na kujikombakomba kwao hata Kama unaona hapa si sahihi bado unawa sapoti na kuona wako sahihi kwa kila Jambo.Dunia nzuri niya fact na challenge,ukija na wazo nikalikataa usianze kulazimisha ,kaa chini tafakari why nakataa,ifanyie kazi hiyo why!! Hiyo ndo science.kwa Sasa tz agenda imekuwa ni chanjo, science ya haya mashirika yanayotengeneza bado ina prove low efficiency kwa hizo chanjo,Cha ajabu hawarudi maabara kusahihisha makosa ,ila wanaendelea kusambaza na kuchanja.is this science!!!!!!???? Tanzania hatukatai chanjo ,ila WHO kwa inshu ya corona ,wako nje na science inavyotaka.ugonjwa mmoja chanjo tatu na bado hakuna yenye [emoji817] efficiency ,even near less.
 
Kumsifia mwanaume mwenzako kuwa ni beberu una maana gani? Kwa maana kazi ya beberu ni kutungisha mimba. Sasa unaposema beberu beberu ina maana wewe ni jike? Hili siyo neno zuri sana kulitumia kwenye dunia hii make ni kujishusha kila wakati. Huwezi sema mwenzio ni beberu bila kusema wewe ni jike, kwa maana kinyume cha beberu ni jike. Tuachane na haya maneno ya kurithi ujinga ili tutunze utu wetu.
na ndio maana hatuitaki kugeuzwa watu wa ndio kwa kila Jambo linalotoka nje. If I say no.why u get bothered.kaa chini rekebisha makosa yako tuende sawa.
 
siku zote , genius katikati ya kundi kubwa la normal brain,ataonekana kichaa tu.hata isac Newton mwanzo walimchulia hivo.
Ni kituko cha karne,unajilinganisha na Sir Isaac Newton ambaye hata jina lake hujui kuliandika,wala uelewi wapi inatakiwa uandike harufi kubwa na ndogo?.
 
Back
Top Bottom