johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Defender itakuwa inamsubiri pale nje endapo atavunja agizo la Dr Abbas!View attachment 1717529
Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi , fahamu kwamba neno la Chadema ndio neno la wananchi .
Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa .
Wote Mnakaribishwa .
Asimuige Dr Kitima yule anaongea kwa niaba ya wateule wa Vatican.