chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
grammar ilinipigaga chenga mkuu,ndio maana niliikimbiaga.uzuri umelewa [emoji106].japo ume ni quote wrong,wakina Newton bado wapo,hata Kama sio [emoji817].Ni kituko cha karne,unajilinganisha na Sir Isaac Newton ambaye hata jina lake hujui kuliandika,wala uelewi wapi inatakiwa uandike harufi kubwa na ndogo?.
labda tumaini la wasiojielewa. watanzania tumaini lao wanalijua.watanzania hawawezi kuwa na tumaini kwa Sacco's ya machade.Viva CDM, bado ni tumaini la Watanzania.
Wapo sikatai,lakini wewe si mmoja wao.grammar ilinipigaga chenga mkuu,ndio maana niliikimbiaga.uzuri umelewa [emoji106].japo ume ni quote wrong,wakina Newton bado wapo,hata Kama sio [emoji817].
Dr.slaa alikuwa na uzalendo na alipania kweli kuleta mapinduzi ya siasa hapa nchini.alipoondoka chama kikabaki na madalali,kila kitu kwisha.Hungeweza kushuhudia uhuni kama huu enzi za Dr. Slaa
Kakimbia uziHungeweza kushuhudia uhuni kama huu enzi za Dr. Slaa
Wabunge wenye akili ndio wale wanawaita covid, hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kukaa na kumsikiliza msigwa, lema, mbowe, mnyika yan wote pumba tupu. Cdm ya zamani ilikuwa na prof baregu, dk slaa, prof safari ukisikia kuna press viti vinawaka motoDr.slaa alikuwa na uzalendo na alipania kweli kuleta mapinduzi ya siasa hapa nchini.alipoondoka chama kikabaki na madalali,kila kitu kwisha.
Uchafu wote huo uliouandika muulize mama yako , atakupa majibu. Muulize mama yako kama mimi ndez, atakupa majibuARV ndio nn !! wewe kilaza kweli,unaamini kuhusu ARV!! unajua implication halisi ya ant-virus .akili za kibavicha haziwez kujua haya. Bavicha bavicha the rotten spirit,mmewakabithi hadi akili zenu mabeberu,ofcoz u have no even a dot of critical thinking. Dunia ya leo na Tanzania ya leo,na ambayo tunaihitaji inataka watu wenye tough spirit, tough thinking capacity and judgement.sio ndez ndez Kama wewe.
Jisemee wewe, watanzania na nani? rubbish! Kafue nguo huko chato labda utateuliwaNadhani anakuja kutoa semina ambayo wamepewa na mabeberu. Sio mbaya tutamsikikiza agenda alizopewa na mabeberu.ila akae akijua Tanzania Ina viongozi wenye maono ya mbali, Tanzania Ina wananchi wenye thamani, Tanzania hatuko tayari kufanyiwa majaribio.
Jitu la hovyo kabisa Mataga, it seems ni ID mpya. Hovyo kabisa unaliambia ARVs unazotumia zinatoka wapi lnaleta matusi badala ya kujibu hojaWewe ni Mataga?
Ni wewe kabwelalabda tumaini la wasiojielewa. watanzania tumaini lao wanalijua.watanzania hawawezi kuwa na tumaini kwa Sacco's ya machade.
mimba kama ya kwako iliyobebwa miaka 9 badala ya miezi 9 ndiyo maana uko hivyo! hasara tupu kwa wazazilabda tumaini la wasiojielewa. watanzania tumaini lao wanalijua.watanzania hawawezi kuwa na tumaini kwa Sacco's ya machade.
hiyo ndo shida ya bavicha,mkiishiwa pumzi mnaanza kuongea utopolo Kama katibu wenu mnyika.Uchafu wote huo uliouandika muulize mama yako , atakupa majibu. Muulize mama yako kama mimi ndez, atakupa majibu
punguza jazba ,haya Mambo hayahitaji jazba njoo na logic.Jisemee wewe, watanzania na nani? rubbish! Kafue nguo huko chato labda utateuliwa
U still premature.No fact,no logic.nonsense.mimba kama ya kwako iliyobebwa miaka 9 badala ya miezi 9 ndiyo maana uko hivyo! hasara tupu kwa wazazi