chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
grammar ilinipigaga chenga mkuu,ndio maana niliikimbiaga.uzuri umelewa [emoji106].japo ume ni quote wrong,wakina Newton bado wapo,hata Kama sio [emoji817].Ni kituko cha karne,unajilinganisha na Sir Isaac Newton ambaye hata jina lake hujui kuliandika,wala uelewi wapi inatakiwa uandike harufi kubwa na ndogo?.