Watu wanaacha umeneja, ukuu wa mkoa, ukatibu Mkuu Wizara, wamiliki wa makapuni, mtu Yuko radhi amtoe mtu kafara au achalaze mwenzie viboko ilimradi aende bungeni kwenye mahela ya kujichotea, kujizolea yani Tanzania hii sijawahi kusikia kijana umri wa mnyika anasema napunzika kugombea Ubunge ni Mnyika tu.
Namtaja Jonh Mnyika kuwa mzalendo wa kwanza maana hapa duniani tunapita kama umepata wapishe na wenzio wale.
Namshauri Mnyika baada ya Uchaguzi kupita aweze kubeba maona ya watu kujiajiri na watu watamsikiliza kwasababu yeye atakua kioo sio kama wale wanaohubiri kujiajiri wakati wao wamehozi madaraka na hawataki kupisha watu wengine wapate mitaji.