Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA kutangazwa mchana huu. Nani kumrithi John Mnyika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hongera sana kwa taarifa mpyampya kutoka kwako kila mara.
 
Godbless?
 
Lema kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa Chadema Mchana huu. Kichwa cha habari kisomeke hivi!
 
Mnyika hafai kubaki lakini ndiye Katibu mkuu pendekezwa...
Katibu Mkuu atakuja kuwa Godbless Lema
tundu lisu akimteua john mnyika kuwa katibu Mkuu wa chadema, basi amteue godbless Lema kuwa katibu mkuu msaidizi au naibu katibu mkuu kwa upande wa tanganyika. akimteua godbless Lema kuwa katibu Mkuu wa chadema, basi amteue mnyika kwenye nafasi nyingine yoyote ile hapo makao makuu, asimuache nje john mnyika, bado anahitajika sana ndani ya chadema kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…