Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA kutangazwa mchana huu. Nani kumrithi John Mnyika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acheni hizo...

CCM kamati Kuu yake na Halmashauri Kuu ina waislamu wengi mbona hamsemi chama cha waislamu?

Kila wakati CHADEMA inahamishiwa goli. Wamemalizana na propaganda za uchaga mnaleta mambo ya ukristo tena.
CCM huwa inabadilika badilika. Leo wamemuweka Wassira makamu mwenyekiti. Mkikaza shingo shauri yenu.
 
Kaeni na Mbowe vizuri! Mliyempa chama ni mkimbizi Kuna siku atawaachia chama chenu, mtakosa wa kumkimbilia!
 
Godbless Lema, mbona ilijulikana mapema tu baada ya Lissu kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…