Astaghafirulilah...Wahuni wanaondoka, wametuharibia chama
Aisee... dah!Safi Sana!!! Aende akapumzike tuuh
Alikuwa mchumia tumbo pamoja na Lipumba.Mungu muweke pema peponi, alikuwa role model ya upinzani wa hoja na staha si vurugu.
Sent using Jamii Forums mobile app