TANZIA Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman amefariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman amefariki dunia

Tanzania hatuna vyama vya kidini kwenye siasa, tuna vyama vya siasa na taasisi za kidini.
Taasisi za Kiislamu ni Bakwata, Balukta, Imra, Sunni, Shia, Ismailia, Ithnasher, Muzdalifa etc. Taasisi za Kikristu ni TEC, CCT, SDA, Walokole, TAG, EAGT, etc.
P
Nafahamu kwamba tz hatuna vyama vya udini.ila kwa jinsi nilivyo mquote nimefanya makusudi kuna pahala nilitaka kumsweka huko ili aache uzushi na udini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hatuna vyama vya kidini kwenye siasa, tuna vyama vya siasa na taasisi za kidini.
Taasisi za Kiislamu ni Bakwata, Balukta, Imra, Sunni, Shia, Ismailia, Ithnasher, Muzdalifa etc. Taasisi za Kikristu ni TEC, CCT, SDA, Walokole, TAG, EAGT, etc.
P
Huu ni uchochezi wa wazi kabisa. Baraza la Kuendeleza Kuruani Tanzania (BALUKTA) ilikufa siku nyingi kabla ya Al Marhum Sheikh Yahya Husein hajaaga dunia. Paskali acha uchochezi.
 
Katibu mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar, mkurugenzi wa mafunzo wa chama hicho Thney Juma amethibitisha.

KHALIFA Suleiman Khalifa alikuwa Mbunge wa Gando, kisiwani Pemba ambako aliongoza jimbo hilo kuanzia mwaka 1995 hadi 2015 kupitia Chama cha Wananchi (CUF).

Machi 17 mwaka 2019, Baraza Kuu la Uongozi wa CUF lilimteua Khalifa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho akisaidiwa na naibu wake, Fakhi Suleiman Khatibu (Zanzibar) huku Magdalena Sakaya akiteuliwa naibu kwa upande wa Bara.
CUF Lipumba au CUF Maalim??
 
Kwa nini mnatuletea habari za zamani maana hili siyo jukwaa LA historian!
Umeona! Kuna kitu nyuma ya pazia,vifo vingine toka mwaka juzi watu wanavileta, wanalazimisha hofu ya lazima Wajinga sana!!
 
Back
Top Bottom