TANZIA Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman amefariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman amefariki dunia

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ) "Surely we belong to Allah and to Him shall we return.”

RIP Khalifa Suleiman.
P
hahahaaaa.. nimefurahi this time umeipatia vizuri sana
 
Rest in Peace Katibu.
Cha muhimu ni kwamba CAG alishatoa taarifa yake ya ukaguzi wa vyama vya siasa, inawezekana katibu haukuwa na tatizo na mtu.
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return.”

RIP Khalifa Suleiman.
P
Jisemee wewe mwenyewe kwamba utarejea kwa Allah sisi wengine tutakwenda kwa Yehova. Ulivyomchongea Kabendera kiasi kile lazima urejee kwa Allah
 
Ningekuwa journalist ningeenda msibani Pemba na nikakaa siku hata mbili baada ya msiba..
I am sure kuna more than just msiba
Pemba mbali, kwa media yetu, inahitaji uwezeshaji kumtuma mwandishi Pemba.
Sasa wamerahishiwa kazi mazishi ni leo Adhuhuri makaburi ya Kisutu.

Mimi ni mwandishi, hata kama ningehudhuria na kusikia chochote, you just keep to yourself kwa heshima ya marehemu na familial. Ikiishaelezwa kuwa marehemu amefariki wakati akipatiwa matibabu Agha Khan, that is it, huruhusiwi kueleza chochote zaidi ya hicho. Huhitaji kujua chanzo cha kifo, na hata ukikijua, huoaswi kuripoti, you just keep it.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return.”

RIP Khalifa Suleiman.
P
 
Binadamu anapokuwa hai ,mwingi wa vitimbi na pirika,
Lakini kumbe mauti tunayasahau,nayoyapo karibu yetu sana.
Sasa watu watasema alivyoishi
Ulimi,ahaa Unahitaji sana tuzifunge pingu ndimi zetu.
Mimi sina Kizuri cha kusema kuhusu bwana huyu,kwanza simjuwi vizuri.
Lakini watu wa jimbo lake walikuwa na malalamiko sana enzi ya ubunge wake.
Alikuwa hawajibiki ipasavyo.
Yasemekana alihamia Dar kimaisha na kujiwekezea huko,jimboni alihama kabisa.
Pole sana ,lakini Hatukukatii tama a kwa Allah mwingi wa rehema,maana ulikuwa unaonekana Msikitini ukiswali na watu.
Allah ukatakabalie swala zako na iwe ni kifutio cha maovu yako.
Pole Khalifa.
Pemba Hukuondoka vizuri
Mungu akusamehe ubinadamu ulikuchukua sana.
PIP
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return.”

RIP Khalifa Suleiman.
 
Back
Top Bottom