Binadamu anapokuwa hai ,mwingi wa vitimbi na pirika,
Lakini kumbe mauti tunayasahau,nayoyapo karibu yetu sana.
Sasa watu watasema alivyoishi
Ulimi,ahaa Unahitaji sana tuzifunge pingu ndimi zetu.
Mimi sina Kizuri cha kusema kuhusu bwana huyu,kwanza simjuwi vizuri.
Lakini watu wa jimbo lake walikuwa na malalamiko sana enzi ya ubunge wake.
Alikuwa hawajibiki ipasavyo.
Yasemekana alihamia Dar kimaisha na kujiwekezea huko,jimboni alihama kabisa.
Pole sana ,lakini Hatukukatii tama a kwa Allah mwingi wa rehema,maana ulikuwa unaonekana Msikitini ukiswali na watu.
Allah ukatakabalie swala zako na iwe ni kifutio cha maovu yako.
Pole Khalifa.
Pemba Hukuondoka vizuri
Mungu akusamehe ubinadamu ulikuchukua sana.
PIP
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return.”
RIP Khalifa Suleiman.