TANZIA Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman amefariki dunia

Jisemee wewe mwenyewe kwamba utarejea kwa Allah sisi wengine tutakwenda kwa Yehova lazima urejee kwa Allah
Father, Lord, God, Light, Yehova, Allah is the same.
Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja, Abraham au Ibrahim. Waislamu ni uzao wa mwanae wa kwanza Ismael, au Ismail, aliyemzaa na mjakazi wa Kimisri aitwae Hagar au Hajiri.
Na Wakristo ni uzao wa Isaka alizaa na mkewe katika umri wa kiutu uzima.
Mungu ni mmoja..
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return.”

RIP Khalifa Suleiman.
P
 
hahahaaaa.. nimefurahi this time umeipatia vizuri sana
Almanusura ningesilimu kwa ajili ya binti fulani wa ki Zanzibari.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return.”

RIP Khalifa Suleiman.
P
 
Kila nafsi itaonja mauti. M Mungu amlaze pahala pema peponi. Poleni ndugu na jamaa wa Marehemu.
 
mkuu simamisha IMANI yako UNAPOAMINI inshaallah utaneemeshwa
 
Atazikwa na wana ccm.
Usigombane na utabiri
 
HUYU MZEE BABA NLIKUWA NAPISHANA NAE SANA DODOMA UHINDINI ENZI HIZO AKIWA MBUNGE, ALIKUWA ANAPENDA SANA KUTEMBEA KUNDA BUNGENI
 
pole kwa familia yake yote kwa msiba mzito pia kwa wananchi wa jimbo lake pia kwa wabunge wenzake wote kwa kumpoteza mbunge mwenzao.
Hakika sisi sote tutarejea kwake Muumba wa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislamu wameandikwa kwenye mstari gani wa biblia? Au unafuata hadithi zao tu na kuziamini
 
Ningekuwa journalist ningeenda msibani Pemba na nikakaa siku hata mbili baada ya msiba..
I am sure kuna more than just msiba

What are you anticipating to take place huko Pemba baada ya msiba? Have you abandoned your profession?
 
Exactly
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole familia kwa kuondokewa na mpendwa wenu na pole upinzani tanzania kwa kuondokewa na kiongozi mzito!
Kiongozi mnafiki na mwenye njaa kali sana isiotosheka. Mpaka anaingia kaburini bado ana njaa.
 
Mie nakushaur tu bdo fursa ipo japo icwe kwa sababu ya......
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…