TANZIA Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman amefariki dunia

Umeiandika uzuri nina wasi wasi kama unaweza kuitamka!
 
mkuu hadi huku uarabuni uko vizuri.

alazwe alikopatengeneza enzi za uhai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyama vya kidini vyote havipewi nchi.
Kuna chama cha waislam na kuna chama cha wakristo, vinajulikana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania hatuna vyama vya kidini kwenye siasa, tuna vyama vya siasa na taasisi za kidini.
Taasisi za Kiislamu ni Bakwata, Balukta, Imra, Sunni, Shia, Ismailia, Ithnasher, Muzdalifa etc. Taasisi za Kikristu ni TEC, CCT, SDA, Walokole, TAG, EAGT, etc.
P
 
Mkuu Pascal Mayalla hakuna taasisi ya kidini inayoitwa walokole ... hao TAG,EAGT,na wale wote waliookoka ndio wanaitwa 'walokole' ...
 
Mkuu Pascal Mayalla hakuna taasisi ya kidini inayoitwa walokole ... hao TAG,EAGT,na wale wote waliookoka ndio wanaitwa 'walokole' ...
Kuna kitu kinaitwa literary meaning na preveived meaning. Hakuna taasisi ya kidini inayoitwa RC, ila ukisema RC inaeleweka ni Katoliki, ukisema TEC ni Wakatoliki, ukisema Bakwata unamaana ni Waislamu, ukisema ELCT unamaana ni Walutheri, ukisema CCT ni Waanglicana, hivyo ukisema walokole ni born again wote wakiwemo TAG, EAGT kama ambao ukisema Shia, ni Ismailia etc.
P
 
Innalillah wainna ilay rajiuun

Jk akihutubia Bunge 2008 aliposema ukitaka kula lazima Uliwe, basi Mh Khalifa akaanza kushika ndevu zake akizi massage massage kiutani ndipo Jk akamalizia '...sina maana hiyo Mh.Khalifa...'



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amehuzunishwa na kifo cha Katibu mkuu wa CUF Khalifa Suleiman kilichotokea Jana usiku katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam.
 
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ameuzunishwa na kifo cha Katibu mkuu wa CUF Khalifa Suleiman kilichotokea Jana usiku katika hospital ya Agakhan jijijini Dar es salaam.
mbona kwa Makongoro Mahanga ali mute?

kweli nimeamini chama changu CCM si tu kinaichukia Chadema bali kinaigwaya kupitiliza.... hadi aibu tunaona sisi yaani!
 
Team Jehanamu wanaliliana.. Watakutana tu motoni asiwaze.. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
There is no standard formula.. Sio lazima uguswe na msiba wa kila mtu.. By the way, Slow slow aliwakilisha kwenye msiba wa Dr Mahanga.
 
Pascal ume miss my point..
Nilitaka hasa kujua kuhusu wapemba na CUFna wapemba na ACT..
Wamegawanyika?
Wamemhukumu marehemu?
Wamemsusa?
Influence ya marehemu kabla ya mgawanyiko?
Alikuwa genuine na Lipumba?
So many questions..
 
What are you anticipating to take place huko Pemba baada ya msiba? Have you abandoned your profession?
Wapemba na Cuf
Wapemba na ACT
Wapemba na umoja wao
Wapemba na mgawanyiko..
 
Pascal ume miss my point..
Nilitaka hasa kujua kuhusu wapemba na CUFna wapemba na ACT..
Wamegawanyika?
Wamemhukumu marehemu?
Wamemsusa?
Influence ya marehemu kabla ya mgawanyiko?
Alikuwa genuine na Lipumba?
So many questions..
Mkuu the big Boss, it's true I missed the point.
Msiba umewaunganisha CUF Maalim na CUF Lipumba. Nimezisoma salaam za rambirambi za Maalim.

Hili ni jambo la kheri maana kule Zenj kabla ya muafaka, CUF na CCM walikuwa paka na panya, hawazikani. Makada wa CCM hawathubutu kukatisha pale Mtaa wa Mtendeni, na CUF hawathubutu kukatisha Kisiwandui.
Muafaka umesaidia sana.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ