Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Huo waraka unapatikana wapi ofsa Basi tuusome!
Au huo waraka uligusa maeneo gani hadi Sheikh wetu anapata sulba kiasi hiki?
Upo humu humu ndani, labda kama mods wameagizwa waufute.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo waraka unapatikana wapi ofsa Basi tuusome!
Au huo waraka uligusa maeneo gani hadi Sheikh wetu anapata sulba kiasi hiki?
Wallah waislam watapiga kura km kumbi kumbi,Ufipa mpeni Ponda tiketi ya kupeperusha bendera. Nina imani kabisa mtashika dola bila hata ya kuzungusha mikono.
Huyu bwana ajifunzi kusoma alama za nyakati
Ajifunzi=hajifunziHuyu bwana ajifunzi kusoma alama za nyakati
Kuna zaidi yakuongea kuna mmoja alikamatwa na Ak 47 pamoja marisasi zaidi ya 500 kesi imeyeyushwaKwani hao maaskofu umewasikia wakiongea kama huyu jamaa? Usifananishe mbingu na ardhi.
Huyu si ndio aliandaa ule waraka wa kidini unaozagaa humu ndani
Unajua kitu kinachoitwa mfumo cristo?Katika dini ambayo vyombo vya dora inaviheshimu pamoja na Dini ya Roman catholic(RC), hata watoe waraka hautasikia padre au askofu kakamatwa
Mrundi hawezi kusoma alama za nyakatiHuyu bwana ajifunzi kusoma alama za nyakati
Nimeona mkuu..!Upo humu humu ndani, labda kama mods wameagizwa waufute.
Nimeona mkuu..!
Nimeupitia juujuu nimeona Kama unamake sense!
Ukweli ulio mchungu.
Kwani ulitaka tuchukuwe hatua gani?Nimekushauri mchukue hatua badala ya kulalamika tu. Hilo neno 'haraka' umelitoa wapi?
Mnakera sana nyie watu kila mkitaja Waislam lazima mhusishe na Saccos la Kambarage Bakwata,
Acheni Kukashif Uislam kwa kuhusisha na ilo taka taka lenu la Muasisi
Ha ha ha, kwa nini unajidanganya?Wallah waislam watapiga kura km kumbi kumbi,