Haitasaidia maana wanaotoka nje watawaletea nyumbaniRaisi basi ataangaze watu wa miaka 60+ wasitoke nje kabisa angalau kwa siku 21 hao watu wako vulnerable sana nahili gonjwa, ili kupunguza kasi hi ya vifo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kabla ya corona walikua hawaanguki?Kudondoka kuna 7bu nyingi mkuu,nina ushuhuda na hilo kuna jamaa alidondoka kwenda kumpima kumbe alikuwa na magonjwa mengine malaria kali,UTI na damu ndogo.
Ukaidi ndio umeleta yote hayaMipaka ingefungwa tuliposema pengine hii mambo isingetokea
Walikuwa wanadondoka sema kwa sasa mtu akidondoka lazima waje "WAJUBA wa MOH" wavaa manailoni waje kumchukua sasa wakija wale "WAJUBA" lazima itakuwa story tu kitaa na info kusambaa.
Its not about lockdown, ingekuwa ni hivyo wanasayansi wangeacha kushinda laboratory kuucgunguza ukweli.Hiyo ni kweli. Takwimu zinaonyesha hivyo duniani kote. Wanaume ni breadwinners wa familia. Lockdown ni ngumu sana kwao.
Jiwe inabidi ashtakiwa kwa crime against humanity maana kwa ukaidi amaesababisha vifo ambavyo vingeliepukikaMipaka ingefungwa tuliposema pengine hii mambo isingetokea
mpaka gonjwa hili linaisha nadhan wanawake itabidi waolewe mitala kwa lazima , wanume tunapukutika vibaya sana.Huyu kirusi wa corona atakuwa wa kile, mbona anapenda sana wanaume?
Its not about lockdown, ingekuwa ni hivyo wanasayansi wangeacha kushinda laboratory kuucgunguza ukweli.
... hili dude ni hatari sana! Mola atusaidie.
Haujakosea. Corona ni jina hai la kike na aina fulani ya saloon cars.Huyu kirusi wa corona atakuwa wa kile, mbona anapenda sana wanaume?