TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

Hiyo ni kweli. Takwimu zinaonyesha hivyo duniani kote. Wanaume ni breadwinners wa familia. Lockdown ni ngumu sana kwao.
Its not about lockdown, ingekuwa ni hivyo wanasayansi wangeacha kushinda laboratory kuucgunguza ukweli.
 
Huyu kirusi wa corona atakuwa wa kile, mbona anapenda sana wanaume?
mpaka gonjwa hili linaisha nadhan wanawake itabidi waolewe mitala kwa lazima , wanume tunapukutika vibaya sana.

Kinachachoshangaza huku kwetu inaua kikatili sana imagine mtu mzima anakwenda gym halafu harudi nyumbani mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafanyakazi huko, mama. Social interactions is one of the major factors. SAR-COV2 is a contagious virus. Interactions among humans favour its spread. You do not need resarch to know this. It is not the sole factor, though.
Its not about lockdown, ingekuwa ni hivyo wanasayansi wangeacha kushinda laboratory kuucgunguza ukweli.
 
Novel disiese in Tanzania known as "Difficult breathing" NCHI YA KIJUHA SANA HII
 
Back
Top Bottom