L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Sep 22, 2024 Thread starter #81 Bulesi said: Wewe Samia chawa in chief, unatia aibu wanaume wanyiha mashujaa toka Vwawa! Click to expand... Mimi mwenyewe ni shujaa😀😀
Bulesi said: Wewe Samia chawa in chief, unatia aibu wanaume wanyiha mashujaa toka Vwawa! Click to expand... Mimi mwenyewe ni shujaa😀😀
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Sep 22, 2024 Thread starter #82 ChoiceVariable said: Harafu wahuni wachache wanataka kuvunja amani Click to expand... CHADEMA ni lazima wafundishwe adabu.
ChoiceVariable said: Harafu wahuni wachache wanataka kuvunja amani Click to expand... CHADEMA ni lazima wafundishwe adabu.
N neez JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 214 Reaction score 303 Sep 22, 2024 #83 Makabila ya wafugaji Wana msemo wao wa uwa mmoja Ili wengine waishi kwa furaha hapo wanamaanisha ule utajiri wa kishirikina ambao mzazi anatakiwa amtoe kafara mtoto mmoja afu awe tajiri
Makabila ya wafugaji Wana msemo wao wa uwa mmoja Ili wengine waishi kwa furaha hapo wanamaanisha ule utajiri wa kishirikina ambao mzazi anatakiwa amtoe kafara mtoto mmoja afu awe tajiri
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 Sep 23, 2024 #84 Lucas Mwashambwa said: Mimi mwenyewe ni shujaa😀😀 Click to expand... Wewe ni shujaa wa uchawa!