Katibu Mkuu Wizara ya Afya ametoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya mchana vya malezi ya watoto (Day Care) kurekebisha kasoro kabla havijafungiwa

Umewnza vizuri: "Kwangu mimi…" Serikali haiko kuadhibu, bali kuongoza na kusimamia na kufundisha. Don't generalize things.
Siamini km SERIKALI za wenzetu walioendelea walifanya zeleheba wakafikia hapo walipo kwa mtindo huo. Wanakua wakali kwenye jambo lao na hatua zinachukuliwa papo hapo, hapa ilipaswa hicho kituo kifungwe haraka sana na hatua nyingine kali za kisheria zifuate ndiyo ingeleta impact ya maana. Hicho alichokifanya huyo kiongozi kwa mazingira km hayo ni kulea uzembe. Wakati mwingine tunamlaumu JPM kwa kuchukua hatua za papo kwa papo lkn hiyo imesaidia sana kuliko hii ya kutoa ultimatum ambayo haina mwendelezo mahsusi wa ufatiliaji. Kumbuka hapa tunashughulika na haki za watoto wetu ambazo zinavunjwa maksudi na watu ambao tumewalipa ili wazilinde.
 
Nyie mnaotetea eti serikali iendelee kutoa maonyo badala ya hatua waambieni na TRA wafanye the same uone kama kuna nyau italipa kodi. Binadamu bila hatua kali hajifunzi na haendi mbele. Punda yake bakora!!
 
Nawapongeza wahusika kwa kutoa tahadhari. Hata barabarani kuna alama za tahadhari. Ndiyo maana kwenye michezo kama football kuna kadi ya njano. Waislamu wana talaka sijui 4 au 5 zile?
 
Nyie mnaotetea eti serikali iendelee kutoa maonyo badala ya hatua waambieni na TRA wafanye the same uone kama kuna nyau italipa kodi. Binadamu bila hatua kali hajifunzi na haendi mbele. Punda yake bakora!!
Hivi hudhani kwamba TRA haitoi warnings, sivyo???
 
Back
Top Bottom