Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Kwahiyo wananchi wa Mwibala wanampenda mtu mwizi na fisadi!
 
 
Jamaniii mwambieni kangi Kuna nanafasi ya lindo awai nafasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu Tujikumbushe,
Sijawahi kuona CAG muongo kama Prof Musa Assadi
 
Huyu baba anashindwa kabisa kuficha udicteta wake, anamshutumu waziri kwa matumizi ya pesa bila idhini ya bunge!!! Yeye ni lini aliwahi kutumia pesa zilizoidhinishwa na bunge?!
 
Kwa hili nasema asante Mungu kwa kutuondolea hili dubwana, japo maandiko yanasema usifurahie kifo cha mtu mwovu. Malipo ni hapa hapa duniani! Huyu ndiye aliyesema bungeni hajawahi ona mtu mwongo duniani kama CAG prof Assard!
 
wewe ndio unaamka usingizini saa hzi na kukurupuka unaona umewaaahi???
 
Lugola pamoja na kumsifia Rais leo kafukuzwa hadharani.Ningekuwa Lugola ningeaga nakwenda kuko joa na nasepa mbele kwa mbele.
Umesahau tulipokuwa watoto...ukitandikwa bakora,unaambiwa usilie,halafu unaambiwa ushukuru...Asante baba/mama

Yote hayo Ni kwa sababu bado tulihitaji kiwategemea kwa kila kitu

Same applies kwa Kange...bado Ni mwenyekiti wake ...Kange anahitaji ubunge lakini teuzi mbalimbali zijazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Musiba alituambia anafile la huyu jamaa, dah yule jamaa Musiba inaonekana anayajua mengi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…